Yaani ukomi kumuongelea magu??!!muongelee mama yako huyu kila siku janga tu hana hata jipya🙄🙄🙄🙄🙄 kinyesi weweUchumi unatakiwa uakisi mezani kwa maana Awamu ya yule Punguwani hata Vitumbua vilikauka mezani.
Uchumi wa kati watu walikuwa wanashindia mlo mmoja uchumi gani sasa?
Lini Tanzania tuliingia uchumi wa kati
Kwanini nisimuongelee wakati ni yeye ndie alietaka nimuongeleeYaani ukomi kumuongelea magu??!!muongelee mama yako huyu kila siku janga tu hana hata jipya🙄🙄🙄🙄🙄 kinyesi wewe
Ulichoandika hakieleweki.Rafiki data zinajieleza zenyewe! Serikali ilijikita kwenye miradi mikubwa!
Pesa za madawa ya kulevya na kuuza viungo vya ALBINO hazikuwepo
Hivi tuliwahi kuwa uchumi wa kati kwa vigezo vipi?Wadau,
Heshima kwenu,
Inasikitisha kuona nchi inarudi nyuma kwa speed of light
2.0 × 10^8
"Tumeondolewa Katika Uchuni wa KATI Lakini Tutarudi" - Rais Samia
Udaku SpecialApril 05, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba ingawa Tanzania imeondolewa kwenye nchi zenye uchumi wa kati lakini kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa imefika au imekaribia kurudi uchumi wa kati.
Mhe. Rais Samia ameyasema hayo leo Aprili 5, 2022 alipokuwa akihutubia katika hafla ya kufungua mkutano wa kitaifa wa haki, amani na maridhiano Tanzania ambao umefanyika Makao Makuu, Dodoma.
"Tanzania tuliingia uchumi wa kati tukarudishwa, siyo kwa mipango ya mtu, ni mipango ya Mungu. Kwahiyo tupambane kurudi tulipokuwa. Na kwa ninavyoiongoza serikali, natarajia kufikia 2025 tutakuwa tumefika au tunakaribia kurudi uchumi wa kati" - Rais Samia Suluhu Hassan.
Aidha katika hotuba yake, Rais Samia amewasisitiza viongozi wa vyama vya kisiasa kuhakikisha kwamba wanautumia mkutano huo vema na kumpelekea mapendekezo yenye tija kwa Tanzania na watu wake.
Rais Samia amewakumbusha wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe na hivyo wajadili mambo ambayo yanaendana na mazingira ya Kitanzania na kuongeza kwamba kazi ya vyama vingi ni kuona yanayofanywa na serikali na kutoa maoni kwa serikali.
Kwa kweli huyu Mama hii nchi ishamshinda....alishaambiwa asimsikilize JK lakini hataki tu, matokeo yake ndiyo haya.Wadau,

Huwezi kuelewa maana neno UCHUMI limekupita pembeniUlichoandika hakieleweki.
Kwani yeye ndiye aliyejiingiza au vipi vyombo na vigezo vilivyotumika?. Mwacheni Mwendazake apumzike kwa amani.Magufuli alikuwa ana cook data ili aonekane mzuri. Ukosefu wa ajira upo karibia asilimia 80, unaingiaje uchumi wa kati?
Yeye ndo alikuwa ana cook data anazipeleka world bank...mzee wa fix. Hawezi pumzika, anateseka huko alikoKwani yeye ndiye aliyejiingiza au vipi vyombo na vigezo vilivyotumika?. Mwacheni Mwendazake apumzike kwa amani.
Sawa, ungeweza tu kunisahihisha..Kwanza hata speed of light haijui wala kuilewa unajiandikia na kujiropokea linamba huyo role model wako.
Speed of light ni 3*10^8 [m/s], got it?
Kwani marekani hakuna maskini japo ni taifa taifa tajiri duniani, unataka pesa ziwe zinakuja mfukoni mwako bila kufanya kazi acha upumbavu wa kifikra.Hivi tuliwahi kuwa uchumi wa kati kwa vigezo vipi?
Mbona mimi sikufaidika!
Hayo mashirika yangekuwa yanafanya kazi zao kwa fikra zako hata yasingekuwepo
Unachuki tu za kishamba zisizo na sababu ya msingi. Ipo siku huu ushamba wa kufata mkumbo utawatoka na mtabaki na aibu kubwa
Kumbe yeye ndio alitangaza?Nilijua ni WB? So rais wa nchi akitangaza tu kuwa nchi ipo uchumi wa kati na WB nao kwenye taarifa zao wana update?Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.
Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.
Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Ki
Kichwa chako kimejaa utegemezi, toka kwa mjomba nenda kaangaike ndugu achana na utegemezi! Na haya ndo madhara ya maziwa ya kopo!
Miradi mikubwa ndio inayotoa ajira, miradi mikubwa ndio inayoweza kutoa uhakika wa upatikanaji wa huduma muhimu kama nishati nk ambazo ndio economic indicators ambazo hutumika na mashirika hayo ku rank Mataifa kwenye maendeleo, we zuzu😎.Huwezi kuelewa maana neno UCHUMI limekupita pembeni