Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Uchumi unatakiwa uakisi mezani kwa maana Awamu ya yule Punguwani hata Vitumbua vilikauka mezani.

Uchumi wa kati watu walikuwa wanashindia mlo mmoja uchumi gani sasa?
Yaani ukomi kumuongelea magu??!!muongelee mama yako huyu kila siku janga tu hana hata jipya🙄🙄🙄🙄🙄 kinyesi wewe
 
Yaani ukomi kumuongelea magu??!!muongelee mama yako huyu kila siku janga tu hana hata jipya🙄🙄🙄🙄🙄 kinyesi wewe
Kwanini nisimuongelee wakati ni yeye ndie alietaka nimuongelee

Kama ni hivyo angebaki Chato asingejihusisha na siasa nani angemuongelea.
 
Sisi Kama siri kali tumeonelea tuongeze vijitozo Uchumi wa Kati umetushinda tumerudisha uchumia tumbo angalau tusikose vyote
 
Wadau,
Heshima kwenu,
Inasikitisha kuona nchi inarudi nyuma kwa speed of light
2.0 × 10^8

"Tumeondolewa Katika Uchuni wa KATI Lakini Tutarudi" - Rais Samia

Udaku SpecialApril 05, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba ingawa Tanzania imeondolewa kwenye nchi zenye uchumi wa kati lakini kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa imefika au imekaribia kurudi uchumi wa kati.

Mhe. Rais Samia ameyasema hayo leo Aprili 5, 2022 alipokuwa akihutubia katika hafla ya kufungua mkutano wa kitaifa wa haki, amani na maridhiano Tanzania ambao umefanyika Makao Makuu, Dodoma.

"Tanzania tuliingia uchumi wa kati tukarudishwa, siyo kwa mipango ya mtu, ni mipango ya Mungu. Kwahiyo tupambane kurudi tulipokuwa. Na kwa ninavyoiongoza serikali, natarajia kufikia 2025 tutakuwa tumefika au tunakaribia kurudi uchumi wa kati" - Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha katika hotuba yake, Rais Samia amewasisitiza viongozi wa vyama vya kisiasa kuhakikisha kwamba wanautumia mkutano huo vema na kumpelekea mapendekezo yenye tija kwa Tanzania na watu wake.

Rais Samia amewakumbusha wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe na hivyo wajadili mambo ambayo yanaendana na mazingira ya Kitanzania na kuongeza kwamba kazi ya vyama vingi ni kuona yanayofanywa na serikali na kutoa maoni kwa serikali.
Hivi tuliwahi kuwa uchumi wa kati kwa vigezo vipi?
Mbona mimi sikufaidika!
 
Kwa kweli huyu Mama hii nchi ishamshinda....alishaambiwa asimsikilize JK lakini hataki tu, matokeo yake ndiyo haya.
 
Magufuli alikuwa ana cook data ili aonekane mzuri. Ukosefu wa ajira upo karibia asilimia 80, unaingiaje uchumi wa kati?
 
Magufuli alikuwa ana cook data ili aonekane mzuri. Ukosefu wa ajira upo karibia asilimia 80, unaingiaje uchumi wa kati?
Kwani yeye ndiye aliyejiingiza au vipi vyombo na vigezo vilivyotumika?. Mwacheni Mwendazake apumzike kwa amani.
 
Kwani yeye ndiye aliyejiingiza au vipi vyombo na vigezo vilivyotumika?. Mwacheni Mwendazake apumzike kwa amani.
Yeye ndo alikuwa ana cook data anazipeleka world bank...mzee wa fix. Hawezi pumzika, anateseka huko aliko
 
Hivi tuliwahi kuwa uchumi wa kati kwa vigezo vipi?
Mbona mimi sikufaidika!
Kwani marekani hakuna maskini japo ni taifa taifa tajiri duniani, unataka pesa ziwe zinakuja mfukoni mwako bila kufanya kazi acha upumbavu wa kifikra.

Waliotuweka uchumi wa kati mwaka 2019 ndio waliotuondoa Feb 2022.
 
Kuomba omba misaada kumelud tena!!!!

Ndo maana!!!
 
Hoja iko mezani, lete counterarguments. Nimekuwekea na reference. Mapenzi ya kijinga bila hoja inaonyesha jinsi ulivyomufisili.
Hayo mashirika yangekuwa yanafanya kazi zao kwa fikra zako hata yasingekuwepo
 
Hoja iko mezani, lete counterarguments. Nimekuwekea na reference ya ugomvi wa Magufuli na IMF juu ya data za kubumba zisizo halisia. Sijui unabisha nini tu. Mapenzi ya kijinga bila hoja inaonyesha jinsi ulivyomufisili.
Unachuki tu za kishamba zisizo na sababu ya msingi. Ipo siku huu ushamba wa kufata mkumbo utawatoka na mtabaki na aibu kubwa

Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.

Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.

Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Kumbe yeye ndio alitangaza?Nilijua ni WB? So rais wa nchi akitangaza tu kuwa nchi ipo uchumi wa kati na WB nao kwenye taarifa zao wana update?
 
Lete hoja. Acha matusi. Hauna hoja kabisa??!! Kicha chako ni tupu kabisa yaani!!?? Ulichoandika hapa chini ndio kimejaa ndani ya kichwa chako!! Loh!
Ki

Kichwa chako kimejaa utegemezi, toka kwa mjomba nenda kaangaike ndugu achana na utegemezi! Na haya ndo madhara ya maziwa ya kopo!
 
Huwezi kuelewa maana neno UCHUMI limekupita pembeni
Miradi mikubwa ndio inayotoa ajira, miradi mikubwa ndio inayoweza kutoa uhakika wa upatikanaji wa huduma muhimu kama nishati nk ambazo ndio economic indicators ambazo hutumika na mashirika hayo ku rank Mataifa kwenye maendeleo, we zuzu😎.
huo upuuzi mwingine ulioandika hapo sijui kuhusu fedha za madawa ya kulevya sijui viungo vya albino,sijui hata ulitaka kusema nini maana inaonekana hata kuandika vitu kama mtu anayejitambua huwezi,poor you😎
 
Back
Top Bottom