Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hujajibu swali langu.Kwani marekani hakuna maskini japo ni taifa taifa tajiri duniani, unataka pesa ziwe zinakuja mfukoni mwako bila kufanya kazi acha upumbavu wa kifikra.
Waliotuweka uchumi wa kati mwaka 2019 ndio waliotuondoa Feb 2022.
WaTz wanafiki Sana aseeWatu wanalalamika kuwa tumetoka na imekuwa siri. Na wengi ni hao hao waliokuwa wanasema sio kweli hatumo humo. Very funny [emoji3]
Hebu tuone sector ya kilimo wakati wa kikwete tulisikia sera za kilimo kwanza, wakati wa Magufuli kimya kilimo zero na kupelekea kuuwa kilimo cha korosho na mazao mengine. Jana nilimsikiliza Waziri wa kilimo akiongea kuhusu ku-finance kilimo kwa makofi mengi. Je sera ya kilimo kwa sasa inasemaje? Je financing ndio tatizo kuu la kilimo cha tanzania? Anyway, mimi sio mtaalamu wa kilimo ila napendekeza let us go to the bottom of the issues in agriculture na sio sera za majukwaani na matamko. Nchi haipaswi kuendeshwa kwa mihemko ya kisiasa.Uchumi wa kati unaoneka kama nadharia tu kwani haiakisi halisi ya WaTZ. Ukweli uchumi wa kati sio nadharia as such bali inaakisi vigezo ambavyo kimataifa hutumika kuonyesha uchumi umefikia hapo. Kwenye chumi ambazo hazisimami kwenye ( concrete foundation) mfano sera madhubuti sisizoweza kuchezewa na viongozi ndio nchi zinazoweza kuwa na maendeleo endelevu na yenye tija. TZ katiba yake imejengwa kumzunguka mtu sio wananchi ni vigumu sana kuwa na maendeleo ya kudumu. Kila Rais anaekuja anabomoa yaliyopita anaanza upya. Utawala huu unaelekea kuipeleka nchi kwenye matumaini ila bila kua na sera madhubuti juu ya maendeleo yetu na kulindwa na katiba hatufiki popote.Atakuja Rais mwingine wa CCM na kuuwa kila kitu. Tatizo letu sio hatujui tunachotaka bali ni nani ataongoza, hili ndio mchawi wetu. Kuwa CCM ndio chama pekee kinachoweza kuipeleka nchi mbele wengine wote tupa kule. Kwa gharama zozote hata kuharibu uchumi lazima CCM itawale hili ndio jinamizi letu. Mipango yetu yote tupa kule tuwekeze kule wananchi watakapo tupa kura wala sio kwenye sector zitakazo tukwamua kiuchumi.
Kaka kuna watu wasiopenda kabisa kushugulisha akili zao,ni shida mno kuelewesha watu kama hao.Kumbe yeye ndio alitangaza?Nilijua ni WB? So rais wa nchi akitangaza tu kuwa nchi ipo uchumi wa kati na WB nao kwenye taarifa zao wana update?
Poor me???!! Asante sana!Miradi mikubwa ndio inayotoa ajira, miradi mikubwa ndio inayoweza kutoa uhakika wa upatikanaji wa huduma muhimu kama nishati nk ambazo ndio economic indicators ambazo hutumika na mashirika hayo ku rank Mataifa kwenye maendeleo, we zuzu😎.
huo upuuzi mwingine ulioandika hapo sijui kuhusu fedha za madawa ya kulevya sijui viungo vya albino,sijui hata ulitaka kusema nini maana inaonekana hata kuandika vitu kama mtu anayejitambua huwezi,poor you😎
Economic development NA economic growth ni vitu viwili tofautiMnashangilia vitu ambavyo havipo kama Nchi yaani Nchi haina uwezo wa kuwa na mafuta ya wiki moja tuu mnazungumzia uchumi wa kati Nchi gani iliyo uchumi wa kati ikawa ina vyanzo vya maji kama Tanzania harafu wananchi wake wengi wanakosa maji safi na salama..mimi nadhani mngejikita kwenye ubora wa maisha ya Watanzania kuliko hizo sifa zisizostahili hata mkiwekwa Dunia ya kwanza wakati ni masikini itawasaidia nini?
hii si opinion ya mtu. Kama hujui ni nani anayetangaza kuwa nchi fulani iko kwenye uchumi level gani basi ukae kimya. Halafu it may not be fair kuwa kwenye kundi tukufu la great thinkers kama hujui elementary things.🙌 Yule mshamba kumbe alijipatia wafuasi wengi hivi!!!
Kurudi tena labda kama Putin atadhibitiwa mapema.
Vinginevyo tutapangia foleni hadi bidhaa muhimu!
Nimekusoma sasa,🙏👍Poor me???!! Asante sana!
Ila ninachojua PATO la taifa hupimwa na mojawapo ya formula hii;
...
NonsenseView attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule...
Mkuu tunazungumzia maendeleo ya watu sio miti mambo ya development na growth tofautisha wewe mimi nachojua Nchi ni masikini pamoja na watu wake...Economic development NA economic growth ni vitu viwili tofauti
Unafaidika nini wewe kurudi kuwa nchi masikini duniani??Hujajibu swali langu.
ulifaidika nini kwa kuwa uchumi wa kati?
Kimya kimya!!!!Maccm yana siri kumbe tulishatoka uchumi wa kati.
Kesho mwendazake akifukuka akakwambia sisi leo ni festi world , utanengua mpaka kupambazuke!Unafaidika nini wewe kurudi kuwa nchi masikini duniani??
Tanzania bado ipo uchumi wa kati.Nakumbuka kipindi kile tunajisifu tumeenda uchumi wa Kati, ITV walimuhoji mchumi Prof Lipumba akasema tumepanda uchumi wa Kati lakini ni Kwa kiwango kile Cha chini kabisa kwamba tukiyumba kidogo tunarudi tulipokuwa. Na kweli yametokea.