Punguzeni kelele basi.. Mnaongea as if mama is the wrongest ever!!!??Does Two Wrongs makes it Right ?
Kwenye hyo hotuba alisema alikaa yeye , katibu mkuu na Wazir wa fedha , Bunge liko wapi hapo ?Hata mama kwenye hotuba yake alisema,mipango yote ya serikali lazima ipitie kwa huyo mkuu wa mhimili hivyo alishangaa ageuke mkosoaji.
Sitaki kuamini hayo yameanza Leo, hivyo kama ni unyani,ni ule iliokomaa. Na kwanini tujidai kuzinduka usingisini Leo na wakati huu, wa mtifuano wa mihimili, agenda Gani imejificha nyuma yake.Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Mama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Kwahio tulioongea wakati wa Magufuli, Mkapa, Mwinyi na Nyerere kila anapokosea unatuweka kundi gani ?Punguzeni kelele basi.. Mnaongea as if mama is the wrongest ever!!!??
SUKUMA GANG inawasumbua hivi kuweka Ikulu Chato kupeleka Twiga Burigi Uwanja wa Ndege Mwendazake alikaa na Ndugai? kuna soko Dodoma liko nje ya Mji limepewa jina Ndugai Ikulu ya Chamwino kupanuliwa kwa ma ekari Reli Mwanza Isaka alikaa Nani?Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Mbona ushaanza mahepehepe kama ndugai..! Ile ni issue tu ya Rais ameibua kwa maslahi ya Tanzania na vile bado haijatiki vizuri amesema tu kuna good commitment ya hao jamaa waliopelekewa hizo barua, sasa mambo yakiwa sawa italetwa huko baraza la mawaziri kama kutakuwa na haja hiyo? saivi ukiita baraza la mawaziri waende kujadili nini kwenye jambo hilo?? piriadNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Waziri wa mchongo hawezi kufanya hayaMarehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Kwa mujibu wa katiba, jukumu la baraza la mawaziri ni kumshauri Rais, lakini yeye ndiye mwenye kufanya uamuzi wa mwisho bila hata kuzingatia ushauri wa baraza hilo. PeriodNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Nilimuona kwenye kikao cha familia yake alikuwa katulia tuli, iweje kwenye nchi afanye apendavyo?Muacheni mama afanye apendavyo wanafki wakubwa nyinyi.
Bank KuuNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Mara ya kwanza kuona picha hii niliidharau lakini kadri ninanvyohangaika kupelekea umeme kwenye nyumba kijijini namlaani waziri wa mchongoWaziri wa mchongo hawezi kufanya hayaView attachment 2070361
Ooh yes!!, kwasababu F + F = T πππDoes Two Wrongs makes it Right ?
Hii katiba haifai Kuna siku tutaamka na kukuta Rais keshauza nchi na Hakuna cha kumfanyaKwa mujibu wa katiba, jukumu la baraza la mawaziri ni kumshauri Rais, lakini yeye ndiye mwenye kufanya uamuzi wa mwisho bila hata kuzingatia ushauri wa baraza hilo. Period
Logically False and False is False.....Ooh yes!!, kwasababu F + F = T πππ
Kwa wale waliosoma hesabu za logic hapo π
Kwahiyo mama asilaumiwe ktk hiloππ
Kumbe Mwigulu alimpigia simu SSH usiku akamwambia Hali ya deni ni Mbaya,tutashindwa kulipa na kufanya maendeleo!Ndio wakaja na distress ya deni!Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...
Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...