Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Mama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.
 
Punguzeni kelele basi.. Mnaongea as if mama is the wrongest ever!!!??
Kwahio tulioongea wakati wa Magufuli, Mkapa, Mwinyi na Nyerere kila anapokosea unatuweka kundi gani ?

Huu ni utamaduni mbovu inabidi kuongea kila mtu anapokesea hata kama ni Malaika bila kufanya hivyo ni mwendelezo wa kukosea...

You can not solve problems with the same failed solutions..., Pia kuna kukosea kwa bahati mbaya na kuamua tu kuvunja utaratibu uliopo sababu unaweza (Huu utamaduni uliota sana mizizi awamu iliyopita na hapa naona kama ni mwendelezo)
 
Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
SUKUMA GANG inawasumbua hivi kuweka Ikulu Chato kupeleka Twiga Burigi Uwanja wa Ndege Mwendazake alikaa na Ndugai? kuna soko Dodoma liko nje ya Mji limepewa jina Ndugai Ikulu ya Chamwino kupanuliwa kwa ma ekari Reli Mwanza Isaka alikaa Nani?
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Mbona ushaanza mahepehepe kama ndugai..! Ile ni issue tu ya Rais ameibua kwa maslahi ya Tanzania na vile bado haijatiki vizuri amesema tu kuna good commitment ya hao jamaa waliopelekewa hizo barua, sasa mambo yakiwa sawa italetwa huko baraza la mawaziri kama kutakuwa na haja hiyo? saivi ukiita baraza la mawaziri waende kujadili nini kwenye jambo hilo?? piriad

kuna mambo unatakiwa kutumia kichwa chako japo kwa dakika 1, Samia ni rais mwanamke lakini yule mama ana uzoefu wa nchi sana ni mzuri sana ni mbunifu ana mawazo chanya sana ingawa wabongo wengi hawakumfahamu yule mama walifikiri atajipakatisha tu kwenye makochi ya Ikulu
 
... siku sio nyingi waziri wa fedha anaenda ku-appear kwenye list ya Forbes.
 
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..

Wapumbavu nini!??
Waziri wa mchongo hawezi kufanya haya
20220104_174117.jpg
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Kwa mujibu wa katiba, jukumu la baraza la mawaziri ni kumshauri Rais, lakini yeye ndiye mwenye kufanya uamuzi wa mwisho bila hata kuzingatia ushauri wa baraza hilo. Period
 
Bank Kuu
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Katib Mkuu Wizara ya Fedha
Kamishana wa bajeti
Makamu wa Raisi
 
Chanzo Cha haya yote n awamu ya 5

Kwan mh Magufuli alituziba mdomo watanzania tusihoji chochote na weng tulikuwa waoga kuhoji na waliohoj tumejionea yaliyowapata

Mama naye anataka kutembelea ya mtangulizi wake lakn kiuwaz Zaid Sasa hapo ndio shida inapoanzia ukiacha uwaz tutahoji tu na tukihoj tutaonekana wabaya ndicho kinachomkuta spika job ndugai kwa Sasa amehoji ameishia kuchambwa

UKITAKA UWAZI HAKIKISHA MIANYA YOTE YA SINTOFAHAMU UMEIREKEBISHA
 
Kwa mujibu wa katiba, jukumu la baraza la mawaziri ni kumshauri Rais, lakini yeye ndiye mwenye kufanya uamuzi wa mwisho bila hata kuzingatia ushauri wa baraza hilo. Period
Hii katiba haifai Kuna siku tutaamka na kukuta Rais keshauza nchi na Hakuna cha kumfanya
 
Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...

Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Kumbe Mwigulu alimpigia simu SSH usiku akamwambia Hali ya deni ni Mbaya,tutashindwa kulipa na kufanya maendeleo!Ndio wakaja na distress ya deni!
Kwamba wakaamua wenyewe watatu wakope kwingine walipe deni lililoiva!
Hapa ni wazi Hali ya deni imetuelemea,ila tunaambiwa Bado tunakopesheka!
 
Back
Top Bottom