Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.Kumbe Mwigulu alimpigia simu SSH usiku akamwambia Hali ya deni ni Mbaya,tutashindwa kulipa na kufanya maendeleo!Ndio wakaja na distress ya deni!
Kwamba wakaamua wenyewe watatu wakope kwingine walipe deni lililoiva!
Hapa ni wazi Hali ya deni imetuelemea,ila tunaambiwa Bado tunakopesheka!
Huyu bibi ni mbabe kuliko watu wanavyomuonaNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Mwigulu hafai kabisa sema ndiyo vile tenaHuyo waziri ni wa ajabu sana, kataa kulipa TRA uone kitakachofuata, kwani unapowalipa TRA wao hiyo hela wanaipeleka wapi kama sio kulipa madeni na mambo mengine.Kwa kauri yake alitakiwa kujiuzulu inavyoonekana ni mbumbu kuhusu matumizi ya Kodi.
Kwa vile marehemu alikuwa anakosea ni sawa mama nae kufuata nyayo hizo hizo?Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Kama awamu ya 5 walikuwa wanakunya nje na hii nayo ni sawa kuendelea kunya nje?Kwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...
Ndugai kayataka mwenyewe toka aanze kuumasturbate huo mhimili wa wananchi na kuuweka chini dola aliyamaliza yote. Hatuna Bunge linalojitegemea kwa sababu ya huyu mpuuzi! Sasa imemtokea puani shenzi type!Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Hoja ni kwamba deni limetuelemea na Hilo linajulikana wazi!Hiyo ndio hoja kuu!Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
Kwa hiyo hayo yanahalalisha selikali hii kufanya hovyo?SUKUMA GANG inawasumbua hivi kuweka Ikulu Chato kupeleka Twiga Burigi Uwanja wa Ndege Mwendazake alikaa na Ndugai? kuna soko Dodoma liko nje ya Mji limepewa jina Ndugai Ikulu ya Chamwino kupanuliwa kwa ma ekari Reli Mwanza Isaka alikaa Nani?
La 1.3T limepita pia. Mkopo ushachukuliwa na tozo na kodi ndo zitatumika kulipa.Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
Huyo bwanako kashaandika barua ya kujiuzulu Kama huna taarifa we zezetaNafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Na familia yake.Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Si mmesema kule kulikua na udikteta?mama si anafuata sheria?Kwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...