Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Mikopo tushirikishwe sisi wananchi sasa ukikaa na watu wako watakupingaje sasa.
Hili la kukopa kujenga madarasa kisha wakimaliza wanakuja kaa mtaani sio afya kwa taifa ni lini mtakopa Ili mchochee uzalishaji?
 
Kama kujadili deni la taifa waite kikao cha baraza la mawaziri sasa WAZIRI WA FEDHA wa kazi gani???.
 
Kumbe Mwigulu alimpigia simu SSH usiku akamwambia Hali ya deni ni Mbaya,tutashindwa kulipa na kufanya maendeleo!Ndio wakaja na distress ya deni!
Kwamba wakaamua wenyewe watatu wakope kwingine walipe deni lililoiva!
Hapa ni wazi Hali ya deni imetuelemea,ila tunaambiwa Bado tunakopesheka!
Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Huyu bibi ni mbabe kuliko watu wanavyomuona
 
Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Ndugai kayataka mwenyewe toka aanze kuumasturbate huo mhimili wa wananchi na kuuweka chini dola aliyamaliza yote. Hatuna Bunge linalojitegemea kwa sababu ya huyu mpuuzi! Sasa imemtokea puani shenzi type!
 
Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
Hoja ni kwamba deni limetuelemea na Hilo linajulikana wazi!Hiyo ndio hoja kuu!
Tunakopa kulipa mkopo maana Kwa mapato yetu hatuwezi!
Deni litaendelea kupaa,subiri mpaka mwezi wa 6 utaona deni limefika wapi!
 
SUKUMA GANG inawasumbua hivi kuweka Ikulu Chato kupeleka Twiga Burigi Uwanja wa Ndege Mwendazake alikaa na Ndugai? kuna soko Dodoma liko nje ya Mji limepewa jina Ndugai Ikulu ya Chamwino kupanuliwa kwa ma ekari Reli Mwanza Isaka alikaa Nani?
Kwa hiyo hayo yanahalalisha selikali hii kufanya hovyo?

Nyie machawa wa mama akili zenu mmeziweka wapi
 
WaTz wa elimu hizi wamejaa uzwazwa,hivi hapo anatakiwa awepo Waziri wa Fedha au mawaziri wote,mbona wa Tz ni shida, kama Raisi anajadili mambo ya bangi iruhusiwe au isiruhusiwe ,hivi itabidi wawepo Mawaziri wote maana bangi mtihani, au Wazrri wa Kilimo na labda na wa mambo ya ndani.

Raisi anajadili mambo ya hela kwa Taifa ,mnataka awaite mawaziri wote ?
 
Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
La 1.3T limepita pia. Mkopo ushachukuliwa na tozo na kodi ndo zitatumika kulipa.
 
Jiwe mbona alikuwa akikaa yeye na mjomba wake tu kuandaa proposal za mikopo na hamkuleta nyuzi hapa?
 
Hii ndio namna serikali inaendeshwa yaan waziri anampigia simu usiku anamwambia pesa za mkopo tukipe Deni naye anakubali anasema hizi ndio akili...kwani waliowakopesha lengo lao lilikuwa kulipa Deni? Huku tunaambiwa hizo pesa niza kazi Fulani halafu kumbe zinakwenda kulipa deni..Na maamuzi mazito Kama hayo yanafanywa watu kupigia simu kitandani ...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Afu huyo Katibu Kiongozi ni Mkwe wake. Ata letaje mambo ya Tanzania ktk issue za Familia yake?
Yawezekana Job Ndugai anajua madhaifu mengi ya hizi Mikopo. Huenda pesa nyingi ina enda Zanzibar!!
 
Back
Top Bottom