Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Aliyemtangulia alikuwa na confidence iliyopitiliza, Matokeo yake akawa anaogopwa mpaka watu wanashindwa kufanya kazi kwa amani.Mama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.
Ndugai na Wana CCM ndo waone umuhimu wa upinzani. Maana mwanaccm kuikosoa serikali ni kosa la uhaini.. unaweza kuvuliwa hata uanachama. Ndo wakomeNdugai alifanya pre-empting. Alianika wazi aina ya upinzani unaoifuata serikali hii haswa kutoka kwa kundi fulani la wanasiasa waandamizi.
Hata mama anaweza na hakuna mtu wa kuhoji. Kilicho mtokea Ndugai ni fundisho kwa wengineJiwe angeweza kuamka pekee yake na kuomba mkopo na hamumfanyi lolote
Kufamarehemu alikuwa anakaa na bibi yako na shangazi yako
Usitumie kichwa chako kama begi la kubebea meno, jitahidi uwe unajenga hojaMarehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Makusanyo yanaongezwa kwa tozo za simu, ambazo pia zinalalamikiwa. Tatizo wabongo wanataka kwenda mbinguni lakini kifo wanakiogopa.Hii nchi usalama wa taifa inahitaji kujipanga wamtafute mtu mwenye uwezo katika maswala ya uchumi kwa viwango vya Kimei ashike usukani wampangie baraza la mawaziri wenye taaluma watu wafanye.
CCM aina watu wenye sifa ya kutuongoza yaani raisi anasema wazi kwa lugha nyingine waziri wake alimwambia makusanyo ya sasa kulipa madeni ni shida kukopa zaidi ni kujiongezea mzigo.
Kuacha mkopo wa interest free wa tsh 1.3 trillion kwa nchi maskini ni ufala, lakini una mipango gani ya kuongeza makusanyo hapo ndio shida ilipo. Huku bandarini kumevuja, TRA umewaambia walegeze.
Kukopa kulipa ni short term solution kumudu hiyo situation unahitaji kuongeza makusanyo that’s the only out of jail card.
Busara mama asigombee 2025 hana uwezo wa kuendesha nchi na raisi sana kuongopewa she is clueless on just about everything hana abc ya jambo lolote.
Ni sahihi sababu alifikia stage akaanza kukosa adabu wazi waziKwa vile marehemu alikuwa anakosea ni sawa mama nae kufuata nyayo hizo hizo?
Kwa hiyo hata kumfunga Mbowe ni sahihi pia?
Hivyo vichwa mmejaza makamasi tu?
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Fairness ya kuongeza majobless na kurudisha ada, tozo na inflation?Makusanyo yanaongezwa kwa tozo za simu, ambazo pia zinalalamikiwa. Tatizo wabongo wanataka kwenda mbinguni lakini kifo wanakiogopa.
Mama anafaa sana kuwa kiongozi, hana ukatili, anayo fairness. Anajua kuongea na wasio watanzania, hana majivuno yasiyo na kichwa wala miguu na anayo convincing power ya kufikia muafaka baada ya mazungumzo mazito kwa faida ya Tanzania.
Hoja ni je bunge hushirikishwa? Najua kwenye hatua za mwanzo wanaweza kuwa hata watu wawili au watatu. Ila wakisha-draft kila kitu bunge hushirikishwa? Na kama linashirikishwa mbona Ndugai analalama sasa hivi?Ndio majukumu ya waziri wa fedha. Ni kila sekta kabla hayajafanyika maamuzi makubwa waziri husika hukaa pamoja na rais na katibu mkuu kiongozi.
Majobless wapo tangu awamu ya kwanza. Umeusahau msemo maarufu wa awamu ya tano. Kwamba asiyefanya kazi na......Fairness ya kuongeza majobless na kurudisha ada, tozo na inflation?
🚮Mbona ushaanza mahepehepe kama ndugai..! Ile ni issue tu ya Rais ameibua kwa maslahi ya Tanzania na vile bado haijatiki vizuri amesema tu kuna good commitment ya hao jamaa waliopelekewa hizo barua, sasa mambo yakiwa sawa italetwa huko baraza la mawaziri kama kutakuwa na haja hiyo? saivi ukiita baraza la mawaziri waende kujadili nini kwenye jambo hilo?? piriad
kuna mambo unatakiwa kutumia kichwa chako japo kwa dakika 1, Samia ni rais mwanamke lakini yule mama ana uzoefu wa nchi sana ni mzuri sana ni mbunifu ana mawazo chanya sana ingawa wabongo wengi hawakumfahamu yule mama walifikiri atajipakatisha tu kwenye makochi ya Ikulu
Unafikiri ni raia kiasi gani wamepoteza uwezo wa kuzalisha hata 10K kwa siku tokana na biashara zao za kubangaiza za kimachinga kufilisiwaMajobless wapo tangu awamu ya kwanza. Umeusahau msemo maarufu wa awamu ya tano. Kwamba asiyefanya kazi na......
Ndugai hakutegemea huu muitikio wa Rais Samia na wanachama wa CCM. Alidhani kila kitu kitakuwa kama mazoea yalivyo.Hoja ni je bunge hushirikishwa? Najua kwenye hatua za mwanzo wanaweza kuwa hata watu wawili au watatu. Ila wakisha-draft kila kitu bunge hushirikishwa? Na kama linashirikishwa mbona Ndugai analalama sasa hivi?
Kuna hoja gani ya kujenga hapa ww taga. Everything is plain clear! Unaijua VII EITE wewe. !?Usitumie kichwa chako kama begi la kubebea meno, jitahidi uwe unajenga hoja
Hivi unajua implication ya kauli yake mbele ya lenders yakuwa wametumia mkopo kulipa deni na waziri alimshauri kwa sasa uwezo wa makusanyo kulipa madeni shida.Makusanyo yanaongezwa kwa tozo za simu, ambazo pia zinalalamikiwa. Tatizo wabongo wanataka kwenda mbinguni lakini kifo wanakiogopa.
Mama anafaa sana kuwa kiongozi, hana ukatili, anayo fairness. Anajua kuongea na wasio watanzania, hana majivuno yasiyo na kichwa wala miguu na anayo convincing power ya kufikia muafaka baada ya mazungumzo mazito kwa faida ya Tanzania.
Rais kasema alikaa na nani?wewe unaeleza taratibu, bibi yeye anaeleza kilichofanyika. Kwa akili ya kawaida kuonyesha alipata idhini asingetaja hako kakikao bali angetaja kikao cha barazaKikao cha mawaziri huwa kinaitishwa baada ya kwanza waziri wa sekta husika kukaa na rais na katibu mkuu kiongozi na kujadili kipi kitaongelewa. Ni preliminary meeting,
Suala likiwa ni la wizara ya michezo atakaa na waziri wa michezo na katibu mkuu kiongozi wakishaafikiana ndio kinaitishwa kikao cha mawaziri wote.
Yeah mimi ni mbuzi yaani GOAT (Greatest Of All Time)Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief Secretary
Maamuzi magumu huja na madhara ya moja kwa moja kwenye jamii. Lakini huja na faida kwa ajili ya hiyo hiyo jamii.Unafikiri ni raia kiasi gani wamepoteza uwezo wa kuzalisha hata 10K kwa siku tokana na biashara zao za kubangaiza za kimachinga kufilisiwa
Faida ni ipi sasa mpaka sasa kama mafuta ya kula tu hayashikiki dukaniMaamuzi magumu huja na madhara ya moja kwa moja kwenye jamii. Lakini huja na faida kwa ajili ya hiyo hiyo jamii.