FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Dharura ya madawati na Zanzibar sio?kwani State General Order (SGO) zinasemaje juu ya maamuzi ya dirisha la dharuraa?
Jiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisaHatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
Nimejitahidi kuelewa lakini sijaelewa, nieleweshe.Soma uelewe. Najua nchi yetu ina tatizo la elimu lakini jitihadi uelewe kitu tunachojadili.
Magufuli alikuwa na confidence sana, in fact tatizo lake lilikuwa ni overconfidence. Alikuwa akiamua jambo, anahakikisha linatekelezwa, siyo aanze mikutano ya hapa na pale kutafuta kuungwa mono. Alisema kazi ilikuwa siyo kutafuta kupendwa, kwani mkewe janeti alishmpenda tayari. Hapa mama anachohangaika nacho kwenye hizo hotuba zote ni kutafuta kuungwa mkono tu, na ameshawapata wafuasi wa namna hiyo.Kama alivyokuwa Jiwe manake akafikia hadi kurekodi watu kwa siri ili afahamu kama wanamsema, au hapana!!
Trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati halafu mnataka tuchekeame?!Punguzeni kelele basi.. Mnaongea as if mama is the wrongest ever!!!??
Kama walipeleka bungeni, ilikuwa ni kikao gani ch bunge kufikia Ndugai ashangae nje ya bunge.Jiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisa
Mkuu naona nawe umekuwa zaidi ya mbuzi acha ujinga toka lini mkopo mkubwa kiasi hicho ukapitishwa na watu watatu? hata mahari haijadiliwi na watu watatu mkuu, hii ni aibu lazima tukubali.Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief Secretary
Kama mlikaa kwa kutulia kipindi cha mwendakuzimu basi na sasa hivi mtulie hivyo hivyoDoes Two Wrongs makes it Right ?
Sukuma gang mtapata tab sanaMama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.
Wewe ni mburula Sana,Nawapa utaratibu bado hamuelewi karibu nitawachoka mbaki na mavi yenu kichwani.Mkuu naona nawe umekuwa zaidi ya mbuzi acha ujinga toka lini mkopo mkubwa kiasi hicho ukapitishwa na watu watatu? hata mahari haijadiliwi na watu watatu mkuu, hii ni aibu lazima tukubali.
Una tatizo kubwa Sana kichwani, jiwe naye alikuwa wale wale , angalau yeye mapungufu yake yalifunikwa na kushuka Kwa mfumuko wa Bei , hangaya wako vitu vinaes-calate sababu hakuna balance yyte , mpak sasa amekopa tunaambiwa Trion 10 , Nani alikuwa anajua hvyo , issue imeburst Kwa kukosekana uwiano , tozo juu, umeme juu, hakuna huduma ya nishati right now nchi ipo gizani , miradi mingi inachechemea , vitu vinapanda juu , na bado mikopo ni mingi ....!!! Ufukuzaji holela wa machinga.... sikumpenda jiwe sababu tushacollide nae akaniharbia parefu ,...ukweli ni kuwa Jiwe wananchi wengi walikuwa wanamuelewa , ujinga anaofanya hangaya na vibaraka wake ni kumnanga jiwe hii inatengeneza chuki kubwa Sana , ni Jambo la aibu anadai hapo nyuma tulidanganywa umeme kuunganisha 27000 huyo February akiendelea kumlea atamharibia zaid....!!! Ajiandae kufoka zaidiJiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisa
Mama aliropoka Mengi sana,Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Hapo ndipo akili yako ilipofikia.Sukuma gang mtapata tab sana
Who is Ndugaye?Kama walipeleka bungeni, ilikuwa ni kikao gani ch bunge kufikia Ndugai ashangae nje ya bunge.
Na ambao tulipinga then kwa nini sasa hivi tusipinge ?Kama mlikaa kwa kutulia kipindi cha mwendakuzimu basi na sasa hivi mtulie hivyo hivyo
Wewe ni kenge jike unasubiria kupandwa tuu uzae maana umeelezwa huelewi,majitu kama nyie mwendazake alikuwa anawatia kwenye viroba na kutupwa bahatini.Trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati halafu mnataka tuchekeame?!
Tupige kelele kwenye mambo ya msingi, sasa tunapiga kelele kwa hoja ambayo aliyeitoa kaikataa?Na ambao tulipinga then kwa nini sasa hivi tusipinge ?
Na kuna waliokaa kimya sababu ya lack of information leo wakigundua ndio waendelee kukaa kimya ?
Hoja ni Hoja sababu ya uzito wake au sababu kaitoa fulani ?Tupige kelele kwenye mambo ya msingi, sasa tunapiga kelele kwa hoja ambayo aliyeitoa kaikataa?
Ww lofa kweli......mijinga ipo mingi kama hiliMarehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Mkuu nimekuelewa vizuri sana kwenye hili. Uko sahihi kabisa, kwa upande wangu mimi kuanzia leo sitolitumia tena hilo neno. Ubarikiwe sana lakini mimi na wewe bado tuna tofauti.Hapo ndipo akili yako ilipofikia.
Wewe na kundi la aina yako mnawezekana mkawa mnadhani mnafanya vizuri kumtetea kwa kuweka lebo kuwa wote wanaomkosa ni Sukuma gang, lakini unfortunately mnaweza kuwa mnakoka moto ambao mnaweza kushindwa kuuzima ukishwaka Ni afadhali mkaweka lebo ya wafuasi wa magufuli na kuwaita Magufuli gang au Chato gang, kuliko kuweka lebo ya kabila zima eti Sukuma gang ambao ni karibu asilimia 25 ya idadi ya watanzania wote. Huko ni kuanza kupandikiza chuki za kikabila, kwani mskuma inaweza kumfanya msukuma yeyote aakihisi ameonea na serikali, anajua ni kwa sababu serikali inachukia wasukuma, wakti kumbe ni haya maneo yenu ya kuweka lebo za kipuuza tu, na wala serikali haihusiki. Ningeshauri mjifikirie sana mnachoanzisha mkidhani ni ushindi. Hata Diallo ambaye ni mskukuma hakuafikiana na magufuli lakini kwa lebo zako basi na yeye ni sukuma Gang tu. Hili neno lisipokekemewa sasa tanaweza kujikua tumeshachelewa.
Hata wanopingana na Kikwete, hawasemi Kwere gang, wanasema timu msoga- sijui kama unaelewa logic hiyo.