Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
Jiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisa
 
Kama alivyokuwa Jiwe manake akafikia hadi kurekodi watu kwa siri ili afahamu kama wanamsema, au hapana!!
Magufuli alikuwa na confidence sana, in fact tatizo lake lilikuwa ni overconfidence. Alikuwa akiamua jambo, anahakikisha linatekelezwa, siyo aanze mikutano ya hapa na pale kutafuta kuungwa mono. Alisema kazi ilikuwa siyo kutafuta kupendwa, kwani mkewe janeti alishmpenda tayari. Hapa mama anachohangaika nacho kwenye hizo hotuba zote ni kutafuta kuungwa mkono tu, na ameshawapata wafuasi wa namna hiyo.
 
Jiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisa
Kama walipeleka bungeni, ilikuwa ni kikao gani ch bunge kufikia Ndugai ashangae nje ya bunge.
 
Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief Secretary
Mkuu naona nawe umekuwa zaidi ya mbuzi acha ujinga toka lini mkopo mkubwa kiasi hicho ukapitishwa na watu watatu? hata mahari haijadiliwi na watu watatu mkuu, hii ni aibu lazima tukubali.
 
Mama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.
Sukuma gang mtapata tab sana
 
Mkuu naona nawe umekuwa zaidi ya mbuzi acha ujinga toka lini mkopo mkubwa kiasi hicho ukapitishwa na watu watatu? hata mahari haijadiliwi na watu watatu mkuu, hii ni aibu lazima tukubali.
Wewe ni mburula Sana,Nawapa utaratibu bado hamuelewi karibu nitawachoka mbaki na mavi yenu kichwani.

Serikali inaomba idhini ya Kukopa kupitia bajeti,inaainisha kiasi cha mikopo na mchanganuo wake na matumizi.

Bunge likiidhinisha inabakia jukumu la Wizara ya fedha kutafuta hizo fedha,zikipatika zinaenda kutumiwa kama ilivyopangwa ikiwemo ku service madeni.

Sasa kipi kitumikeje ni swala la Waziri wa Fedha kushauri kama alivyofanya ,sio swala la Bunge hapo,muwe mnapunguza ujinga vichwani,hii hapa ni summary ya bajeti ya 2021/2022.

Screenshot_20220102-082208.png
 
Jiwe unajua alikuwa anajadili na nani? Pia nani kakwambia kuwa baada ya majadiliano hawakupeleka bungeni? Nonsense kabisa
Una tatizo kubwa Sana kichwani, jiwe naye alikuwa wale wale , angalau yeye mapungufu yake yalifunikwa na kushuka Kwa mfumuko wa Bei , hangaya wako vitu vinaes-calate sababu hakuna balance yyte , mpak sasa amekopa tunaambiwa Trion 10 , Nani alikuwa anajua hvyo , issue imeburst Kwa kukosekana uwiano , tozo juu, umeme juu, hakuna huduma ya nishati right now nchi ipo gizani , miradi mingi inachechemea , vitu vinapanda juu , na bado mikopo ni mingi ....!!! Ufukuzaji holela wa machinga.... sikumpenda jiwe sababu tushacollide nae akaniharbia parefu ,...ukweli ni kuwa Jiwe wananchi wengi walikuwa wanamuelewa , ujinga anaofanya hangaya na vibaraka wake ni kumnanga jiwe hii inatengeneza chuki kubwa Sana , ni Jambo la aibu anadai hapo nyuma tulidanganywa umeme kuunganisha 27000 huyo February akiendelea kumlea atamharibia zaid....!!! Ajiandae kufoka zaidi
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Mama aliropoka Mengi sana,
Kusema kwamba nchi hii ni ya "kukopa kopa"tu,yaani kukili wazi kwamba hatuwezi kuendesha nchi bila kukopa,
Pili kukili kwamba ndani ya chama tawala,kuna
 
Sukuma gang mtapata tab sana
Hapo ndipo akili yako ilipofikia.

Wewe na kundi la aina yako mnawezekana mkawa mnadhani mnafanya vizuri kumtetea rais kwa kuweka lebo kuwa wote wanaomkosoa ni Sukuma gang, lakini unfortunately mnaweza kuwa mnakoka moto ambao mnaweza kushindwa kuuzima ukishwaka Ni afadhali mkaweka lebo ya wafuasi wa magufuli na kuwaita Magufuli gang au Chato gang, kuliko kuweka lebo ya kabila zima eti Sukuma gang ambao ni karibu asilimia 25 ya idadi ya watanzania wote. Huko ni kuanza kupandikiza chuki za kikabila, kwani inaweza kumfanya msukuma yeyote akihisi ameonea na serikali, anajua ni kwa sababu serikali inachukia wasukuma wote, wakati kumbe ni haya maneo yenu ya kuweka lebo za kipuuzi tu, na wala serikali haihusiki. Ningeshauri mjifikirie sana mnachoanzisha mkidhani ni ushindi. Hata Diallo ambaye ni mskukuma hakuafikiana na magufuli lakini kwa lebo zako basi na yeye ni sukuma Gang tu. Hili neno lisipokekemewa sasa tanaweza kujikua tumeshachelewa.

Hata wanopingana na Kikwete, hawasemi Kwere gang, wanasema timu msoga- sijui kama unaelewa logic hiyo.
 
Kama mlikaa kwa kutulia kipindi cha mwendakuzimu basi na sasa hivi mtulie hivyo hivyo
Na ambao tulipinga then kwa nini sasa hivi tusipinge ?

Na kuna waliokaa kimya sababu ya lack of information leo wakigundua ndio waendelee kukaa kimya ?
 
Trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati halafu mnataka tuchekeame?!
Wewe ni kenge jike unasubiria kupandwa tuu uzae maana umeelezwa huelewi,majitu kama nyie mwendazake alikuwa anawatia kwenye viroba na kutupwa bahatini.

Serikali imesema mkopo wa Samia ni til 1.3,, hiyo mingine ilitafutwa na kina Mpango enzi za Jiwe,but haikuwa disbursed.

Imeanza kutolewa kipindi cha mama na ilishasainiwa na kubainishwa itakavyotumika sasa sijui wewe mpuuzi unataka nini unless huna Kazi za kufanya..

Mara kadhaa nimeweka humu jukwaani maelezo ya hiyo mikopo lakini huelewi kama nguruwe yuko kwenye period.
 
Tupige kelele kwenye mambo ya msingi, sasa tunapiga kelele kwa hoja ambayo aliyeitoa kaikataa?
Hoja ni Hoja sababu ya uzito wake au sababu kaitoa fulani ?

Hata kichaa leo akizungumzia jambo ambalo lina uzito / mantiki tusiliongelee sababu kichaa amesema..., Kumbuka hii hoja imekuwa ikiongelewa kila leo imepewa uzito sasa hizi sababu Spika ndio amezungumza..., ila Hoja za Matumizi na Mikopo ni Hoja zenye afya kuzungumzwa
 
Hapo ndipo akili yako ilipofikia.

Wewe na kundi la aina yako mnawezekana mkawa mnadhani mnafanya vizuri kumtetea kwa kuweka lebo kuwa wote wanaomkosa ni Sukuma gang, lakini unfortunately mnaweza kuwa mnakoka moto ambao mnaweza kushindwa kuuzima ukishwaka Ni afadhali mkaweka lebo ya wafuasi wa magufuli na kuwaita Magufuli gang au Chato gang, kuliko kuweka lebo ya kabila zima eti Sukuma gang ambao ni karibu asilimia 25 ya idadi ya watanzania wote. Huko ni kuanza kupandikiza chuki za kikabila, kwani mskuma inaweza kumfanya msukuma yeyote aakihisi ameonea na serikali, anajua ni kwa sababu serikali inachukia wasukuma, wakti kumbe ni haya maneo yenu ya kuweka lebo za kipuuza tu, na wala serikali haihusiki. Ningeshauri mjifikirie sana mnachoanzisha mkidhani ni ushindi. Hata Diallo ambaye ni mskukuma hakuafikiana na magufuli lakini kwa lebo zako basi na yeye ni sukuma Gang tu. Hili neno lisipokekemewa sasa tanaweza kujikua tumeshachelewa.

Hata wanopingana na Kikwete, hawasemi Kwere gang, wanasema timu msoga- sijui kama unaelewa logic hiyo.
Mkuu nimekuelewa vizuri sana kwenye hili. Uko sahihi kabisa, kwa upande wangu mimi kuanzia leo sitolitumia tena hilo neno. Ubarikiwe sana lakini mimi na wewe bado tuna tofauti.
 
Back
Top Bottom