Hii reference ya Past unatakiwa kujifunza kuiacha. Kwenye makosa.... hakuna si bora huyu kuliko huyu .......
Hatuwezi kusema kufanya kosa ni bora ya huyu kuliko yule. Suala la mwendazake halipo tena , halitokusaidia kitu , yeye alienjoy maisha wakati yupo hai, ameshakufa na wewe pia utakufa na yule na Mimi , tusione Mtu akifa ni kama vile ameadhibiwa, ni ujinga kuwaza hilo maana hata wewe utakufa... ni suala la Muda tu . So tujadili hoja kwa mapana.
Hoja ya msingi ni hiki anachofanya Mama ; Deep down kauli ya ndungai, na kujiuzulu kwake, kuna maelezo mengi nyuma ya pazia.
Tatizo kubwa wa TZ, hatujawahi kupewa uwezo wa kufikiri, lakini , ukimtizama Ndungai, speaks louder than what has been presented in Media.
Ninaamini hili suala halipo sawa, something is being cooked : only time will tell