Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Asante sana mama,Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.
Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli alizindua majengo ya awali ya kujishikiza yaliyopewa jina la 'Magufuli City', hatua iliyowezesha shughuli za utoaji huduma kuanza rasmi makao makuu ya nchi.
Wazazi wetu, watoto wetu, biashara zetu, kazi zetu tupotezee au sio???Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.
Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli alizindua majengo ya awali ya kujishikiza yaliyopewa jina la 'Magufuli City', hatua iliyowezesha shughuli za utoaji huduma kuanza rasmi makao makuu ya nchi.
Huyo sio mama yako,acha kujipebdekeza kumuita mamaAsante sana mama,
Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
we are proud of you as a nation mama 🤝
Gentleman,Huyo sio mama yako,acha kujipebdekeza kumuita mama
Ndugu Isenye , hayo mamisukule yapo tayari hata kukana wazazi wao kisa tu mkono uende kinywani!Huyo sio mama yako,acha kujipebdekeza kumuita mama
MKo proud machawa yake usitusemee watz tulio wengi ambao pia tulimkataa kwenye sanduku la kura oct 29!Asante sana mama,
Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
we are proud of you as a nation mama 🤝
Yaani mpaka mwenyewe anaona aibuKwahiyo Umebatizwa jina jipya au?
Wengine tutaendelea kuuita Magufuli CityYaani mpaka mwenyewe anaona aibu
Kama taifa,MKo proud machawa yake usitusemee watz tulio wengi ambao pia tulimkataa kwenye sanduku la kura oct 29!
Wengine tutaendelea kuuita Magufuli City