October 29 hio watu wanaandamana wamebeba picha kuuubwa ya Magufuli km kumuenzi jamaa wametoka huko na mabunduki yao wamekuja kuwamiminia risasi wote wakafa palepale, unataka kusemaje?
Tanzania kuna vitu vingi tunaweza kumuenzi hayati DR J.P. Magufuli gentleman, hakuna haja ya kupata tabu kwenye hilo ambalo kwakweli ni dogo mno gentleman 🐒