kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 122
- 241
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅
Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.