GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
122
Reaction score
241
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅

Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.

Upekee wa Kampeni za Uchaguzi wa CCM 2025 ni;.png
 
View attachment 3456466
Hakuna utulivu, watu wana mafundo siku ikifika utaona kuwa hakuna utulivu
 
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅

Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.

View attachment 3456466

Kwani bado hakumwagwi oil?
 
Elimination ya watu wanaowakosoa ndiyo kurudisha utulivu!! Mmefanya vby sana kupoteza hasa vijana wadogo kisa tu wanawakosoa.
 
Kumwaga damu za wakosoaji ndiyo utulivu, au kumuweka ndani Kamanda Lisu ndiyo kurudisha utulivu?.
 
Hata wewe ukileta za kuleta utabomolewa .KENGE
Mambo ya kijinga kutoka kwa mjinga kama mm kenge wewe utakuwa nani basi? Utabomoa wangapi na tangu ubomoe umepata nn mbona bado unasomba WAMACHINGA Kwenda kawe kujaza uwanja????
 
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅

Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.

View attachment 3456466

IMG_20240428_070927.jpg
 
Mauaji ya kikatili aliyofanyiwa Marehemu Ali Kibao.
Kutekwa na kupotezwa Deus Soka na wenzake wawili.
Kutekwa na kupotezwa kwa Dionis Kipanya.
Kutekwa na kupotezwa kwa Mdude Nyagali.
Kutekwa, kupigwa na kulawawitiwa wanaharakati wa Kenye na Uganda.
Kutekwa, kupigwa na kuvunjwa mikono na miguu wanachama na viongozi wa Chadema walikuja kusikiliza kesi ya Lissu kisha wakatupwa kwenye mapori mbali mbali nje ya Dar es Salaam kitendo kilichofanywa na jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam.
Kuvurugwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa November 2024.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya uongo ya ugaidi.
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kufunguliwa kesi ya uongo ya uhaini.

Yote haya na mengine ni vitendo vya kidhalimu vinavyoendelea kufanywa na serikali ya CCM inayodai kuwa imeimarisha utulivu na amani.
 
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅

Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.

View attachment 3456466
Mungu mbariki Rais Samia
 
Back
Top Bottom