kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 122
- 241
Hakuna utulivu, watu wana mafundo siku ikifika utaona kuwa hakuna utulivu"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅
Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.
View attachment 3456466
Na kuteka raia wenye mitazamo tofauti naoTaifa lirejee kwenye UTULIVU KWA KUBOMOA MAKANISA ???
Naam ! Waliokuwa wametoweshwa utulivu wakanywe kutorudia. Sihami!....hali ya utulivu tuliyozoea....
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅
Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.
View attachment 3456466
Yap utulivu upo wa kutosha, yeye na dalali wake JK wanaiba bila kusumbuliwa na chombo chochoteTaifa lirejee kwenye UTULIVU KWA KUBOMOA MAKANISA ???
Ndiyo utulivu wenyewe anateka na kuua lakini tupo kimyaNa kuteka raia wenye mitazamo tofauti nao
Hata wewe ukileta za kuleta utabomolewa .KENGETaifa lirejee kwenye UTULIVU KWA KUBOMOA MAKANISA ???
Mambo ya kijinga kutoka kwa mjinga kama mm kenge wewe utakuwa nani basi? Utabomoa wangapi na tangu ubomoe umepata nn mbona bado unasomba WAMACHINGA Kwenda kawe kujaza uwanja????Hata wewe ukileta za kuleta utabomolewa .KENGE
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅
Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.
View attachment 3456466
Mauaji ya kikatili aliyofanyiwa Marehemu Ali Kibao."Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅
Aidha, Rais Samia Suluhu amewahidi watanzania katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030 serikali imeahidi kugharamia kwa asilimia 10 matibabu ya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo ikiwemo saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.
View attachment 3456466
Mungu mbariki Rais Samia"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi wa kampeni Leo hii✅