Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania.

Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.

 
Kila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSI
Uwe na mama dizaini ya magufuli😳😳😳
 
Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Maadui namba moja wa Rais Samia ni CCM yenyewe.

alikiri juzi juzi ktk moja ya Hotuba zake kuwa wanaomkwamisha sio wapinzani
 
Back
Top Bottom