Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Samia anahitaji mchango upi wa lisu!?
Nilijua hiki kitafuata,Hongera Sana Mama SAMIA kwa kuwa na sikio pana[emoji120][emoji120][emoji120]

Tundulissu Rudi nyumban,mchango wako unahitajika Sana huku[emoji87]
 
nashauri iundwe tume huru kuchunguza waliyompiga risasi lisu na watakaogundulika walishiriki katika tukio hilo wachukuliwe hatua za kisheria.
sio rahisi kwa mtu aliyekoswakoswa kuuwawa kama lisu kuwa na amani huku watu waliomshambulia wakiwa huru
watu hao ni vyema wakajulikana
 
Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CCTV mlipeleka wapi wazee wa fedha? Imagine tukio lile lingefanyika kwa mbunge wa mboga mboga
 
Ulitegemea before kwamba Rais Samia angekubali kukutana na Lissu?

Na bado utasononeka saana, siku za kutesa watanzania wenzenu zimeshaisha.
Subiri akujibu basi kwamba Lissu arudi na atapewa ulinzi na vingora kila apitapo
Nyinyi chadema ni mabwanyenye sana, maalim seif alipambana mpaka dakika ya mwisho hakuwa legelege kama viongozi wenu walivyo
 
Wapi babako jobo
 
Samia ni mmoja wa wauaji wa ndoto za watanzania. Kuua ndoto ni kulinda mifumo mibovu isiyoweza kuliendeleza taifa. Muua ndoto ni sawa na mhalifu wa kiwango cha genocide. Anapaswa auliwe yeye au afungwe mpaka Mwenyezi Mungu atakapoamua kumchukua
 
Nimesikiliza hotuba nzima, hakuna sehemu amesema hayo ya kufuta kesi zote za Tundu Lissu...
 
Anakusikia ujue!. Nasikia masikio huwa hayafi shauri yako!
Ndio vizuri ajue ushetani wake ulivyodhuru TAIFA letu.
Mabulungutu aliyokuwa anajichotea na kumwaga mwaga makanisani, misikitini hayawezi kumsaidia kujisafisha mbele za Mungu.
 
Kama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.

Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.

Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.

Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.

Je, Samia atakubali?

Tuombe uzima
elewa jambo moja,inshu sio katiba na samia,ccm na katiba,mma kwa sas mpango huo hana kwa maana ya chama ila ngoja awamu yake ya ukomo ccm watalia,mma ni msikivu sana.we huon nchi imetulia bwana,kwa sasa mam anatengeza mifumo bora ya kisiasa,ngoja la mbowe mengne yatakuja.kama katiba ataipa kpaumbele ccm watamgeuka na kumbeza.kikwete walishawah kumwambia kama anataka katiba bas awaachie chama chao
 
Kama ni kweli na iwe hvyo
elewa jambo moja,inshu sio katiba na samia,ccm na katiba,mma kwa sas mpango huo hana kwa maana ya chama ila ngoja awamu yake ya ukomo ccm watalia,mma ni msikivu sana.we huon nchi imetulia bwana,kwa sasa mam anatengeza mifumo bora ya kisiasa,ngoja la mbowe mengne yatakuja.kama katiba ataipa kpaumbele ccm watamgeuka na kumbeza.kikwete walishawah kumwambia kama anataka katiba bas awaachie chama chao
 
Samia ni mmoja wa wauaji wa ndoto za watanzania. Kuua ndoto ni kulinda mifumo mibovu isiyoweza kuliendeleza taifa. Muua ndoto ni sawa na mhalifu wa kiwango cha genocide. Anapaswa auliwe yeye au afungwe mpaka Mwenyezi Mungu atakapoamua kumchukua
Duh.
 
Back
Top Bottom