Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Sawa mama, ila kwa yale yaliyomsibu basi muhakikishie usalama wake ili wale wahuni waliokuwa wanamtishia wakome.

Kauli yako moja tu ya " njoo nyumbani utakuwa salama" yatosha kabisa.
 
Isije ikawa Samia amelazimishwa huko na mabeberu ili ionekane hana ubaya na lisu ila ukweli anaujua mwenyewe huko anamuonea aibu lakini akirudi anaweza kumchenjia.

Huko Samia hana ujanja inabidi tu akubali kufanya kikao kwa shingo upande.

Ndo maana kuna mtu humu nimemuuliza Samia atakubali kutekeleza mapendekezo ya Lissu?

Na lisu nae amepewa mapendekezo gani na samia maana tumesikia upande mmoja wa lisu tu.ila Samia na serikali wamekaa kimya.

Sina uhakika
 
Hofu yangu isije ikawa ni masharti ya mkopo wa MASHARTI NAFUU
Ila moyoni anajua mwenyewe.
Sawa mama, ila kwa yale yaliyomsibu basi muhakikishie usalama wake ili wale wahuni waliokuwa wanamtishia wakome.

Kauli yako moja tu ya " njoo nyumbani utakuwa salama" yatosha kabisa.
 
Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Ukichunguza taratibu huyu mama hana shida kivile ila kuna masalia ya mwenda zake yalitaka kumuangushia jumba bovu aongeze maadui kisiasa yafanikishe jambo lao maza kausoma mchezo!!
 
Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania.

Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.

Kwa kauli hii ya mama na kujaribu kueleza uhusiano yeye na Tundulissu ni kwamba CHADEMA imeshauzwa bei chee kabisa
 
Kama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.
Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.
Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.
Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.
Je Samia atakubali.?
Tuombe uzima
Mkuu unapata mashaka ya nini, Chadema ishauzwa bei chee kabisa, elewa na tosheka na neno ''mtu na dadaake''
 
Sawa mama, ila kwa yale yaliyomsibu basi muhakikishie usalama wake ili wale wahuni waliokuwa wanamtishia wakome.

Kauli yako moja tu ya " njoo nyumbani utakuwa salama" yatosha kabisa.
wewe unataka Rais aongee kila neno, anataka arudi hataki abaki ulaya tunazo taafira kwamba ashajiripua kwanza ana shavu dodo anapiga makuku na manyama muda wote
 
Back
Top Bottom