Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

wewe unataka Rais aongee kila neno, anataka arudi hataki abaki ulaya tunazo taafira kwamba ashajiripua kwanza ana shavu dodo anapiga makuku na manyama muda wote
Ulitegemea before kwamba Rais Samia angekubali kukutana na Lissu?

Na bado utasononeka saana, siku za kutesa watanzania wenzenu zimeshaisha.
 
Nimesema kutoka na maneno kama hayo! Mara ooohh bila dereva inamaana msingechunguza? Angekufa je? Mara oohh anatibiwa Nairobi anatibiwa Saikolojia mara nae huyo Bergium sasa mwisho wa siku nakuambia yatafikia hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva hakuna aliyemhitaji police. Alikuepo muda wote baada ya shambulizi kuanzia hospital, airport walipomsindikiza bosi wake na kesho yake. Hakuna cha polisi wala nani waliomhitaji kumhoji. Mnasubiri anatoka ndiyo kelele za kutaka kumuondoa zinaanza. Kisa kufuta ushahidi !!. Jinai haifi
 
Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, kutokuwepo kwa Lissu na dreva wake ndiyo kuliwafanya Polisi wasipeleleze kesi? Je, kesi Kama hiyo mtu akiuawa Polisi huwa wamaacha tu kwa kukosa pa kuanzia? Hauko serious...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lissu sio mtu wa kukaa kimya
Hata hapa mimi najiuliza. Lisu ni mkweli, hapindishi, na analugha fulani hivi za kukera, na kutia hasira. Akirudi hivi kweli mama atashindwa kumfungulia kesi nyingine, kama alivyomfanya Mbowe?

Make Mbowe kudai katiba na misimamo yake mama akamuogopa, akasema Mbowe awe na heshima na mengineyo. Kwa Lissu sasa itakuweje, make najua Lissu akirudi hana cha kukaa kimya.

Mama yeye mwenyewe alidai anakubali kukosolewa, akasema watu wawe huru, Mbowe alipolianzaisha tu kidogo, akawa Gaidi. Lissu ajiandae sijui kuwa nani kwa makosa ya jinai. Mama ni kigeugeu. Kama alichukizwa tu na Spika kumchallenge ktk mkopo? Itakuwaje kwa mzee wa MIGA... Ha ha ha!

Lissu awe makini, mama anafuata kila anachoshauriwa. Hivyo Lissu akirudi, akaanza mashambulizi yake kama ilivyokawaida. Mama atatamani kuingia uvunguni. Hapa ndo atapewa ushauri ambao utakuwa wa kumshughulikia Lissu. Na mama anavyopenda kulinda Urais wake hadi 2030, Lissu jiandae kwa kitu kizito hapo baadae.

Pengine uamue tu kutulia na kukubali kila jambo. Ufyate mkia. Kama umbwa koko.
 
Umemaliza kila kitu
 
Kama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.
Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.
Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.
Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.
Je Samia atakubali.?
Tuombe uzima
Kinachotakiwa ni kufuata katiba ya nchi inaelekeza Nini katika kila jambo. Kama katiba inasema vyama vya siasa vifanye siasa, kwa Nini uzuie? Kama katiba inaeleza mawakala wa vyama wawepo kwenye chaguzi, kwa nini uwazuie na kuruhusu wa kwako tu? Kama katiba inasema mbunge atatokana na Chama Cha siasa, kwa nini uruhusu wasio na Chama wawemo bungeni? Katiba ikifuatwa, hakuna mgogoro wowote utakaotokea, ugomvi hutokana na uvunjaji wa katiba, Sheria na kanuni.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilijua hiki kitafuata,Hongera Sana Mama SAMIA kwa kuwa na sikio pana🙏🙏🙏

Tundulissu Rudi nyumban,mchango wako unahitajika Sana huku🙊
 
Lisu anataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Na ndo madai ya chadema na upinzani.
Samia na lisu wamekubaliana Nini kwenye madai haya makubwa?
ndo maana nasema isije ikawa Samia amelazimishwa huko na mabeberu ili ionekane hana ubaya na lisu lakini ukweli anaujua mwenyewe moyoni.

Back
Top Bottom