Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

Kama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.

Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.

Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.

Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.

Je, Samia atakubali?

Tuombe uzima
 
Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukipigwa risasi mpaka uhojiwe ndio uchunguzi unaanza? Mbona kule mtwara mfanyabiashara kauwawa na uchunguzi Prime Minister kaweka tume
 
Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Hao unaowaita maadui ndio walewale ambao JK na Mkapa waliishi nao miaka kumi kila mmoja katika utawala wao. Waliongea, ya kujibiwa yakajibiwa, ya kurekebishwa yakarekebishwa, ya kupuuzwa yakapuuzwa, maisha yakaendelea kwa miaka 20.
 
Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI

Kiongozi ambae ni uncivilized na uneducated ndio utumia nguvu badala ya akili kupambana na wapinzani.
Huwezi mmaliza mpinzani wako kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom