Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwamishaji ni hatari zaidi. Kuna kuongea na kuna kukwamisha.
Sina uhakikaKikao Cha Samia na lisu kule ubeligiji serikali imetoa taarifa yoyote?
Sina uhakika
Sawa mama, ila kwa yale yaliyomsibu basi muhakikishie usalama wake ili wale wahuni waliokuwa wanamtishia wakome.
Kauli yako moja tu ya " njoo nyumbani utakuwa salama" yatosha kabisa.
Mmh, hata kama ameoa?
Na Shangazi ni baba?Kila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSI
Ukichunguza taratibu huyu mama hana shida kivile ila kuna masalia ya mwenda zake yalitaka kumuangushia jumba bovu aongeze maadui kisiasa yafanikishe jambo lao maza kausoma mchezo!!Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Wenje alikimbilia nchi gani?Vizuri kufuta kesi lakini muhimu na wale wengine kina Lema na Wenje nao wapewe uhakika warejee nchini.
Na Shangazi ni Baba..
Kwani upinzani unatafsiri vp chama tawala? Ngoja Lissu arudi ndio tumpime mama kama ataweza kuvumilia.Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Kwani Lema kilichomtoa nchini ni nini?Vizuri kufuta kesi lakini muhimu na wale wengine kina Lema na Wenje nao wapewe uhakika warejee nchini.
Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania.
Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
Mkuu unapata mashaka ya nini, Chadema ishauzwa bei chee kabisa, elewa na tosheka na neno ''mtu na dadaake''Kama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.
Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.
Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.
Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.
Je Samia atakubali.?
Tuombe uzima
Ishu moja na mboweKwani Lema kilichomtoa nchini ni nini?
wewe unataka Rais aongee kila neno, anataka arudi hataki abaki ulaya tunazo taafira kwamba ashajiripua kwanza ana shavu dodo anapiga makuku na manyama muda woteSawa mama, ila kwa yale yaliyomsibu basi muhakikishie usalama wake ili wale wahuni waliokuwa wanamtishia wakome.
Kauli yako moja tu ya " njoo nyumbani utakuwa salama" yatosha kabisa.