Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Tutake radhi wajomba
Kila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSITutake radhi wajomba
Chokochoko za kisiasa si mbaya kama za kidini. Udini uepukwe kama ukomaNacho jua Waislamu hawanaga Visasi vya kudumu wanajua hata maisha ni ya kupita tu, sio kama wenzetu Big up Raisi wetu
Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Sio wote elewa maelezo hapo kasema lisu hivyo lema na chahali na ngurumo wao hawajasamehewaWakimbizi wa kisiasa mmesikia huku rudini nyumbani Sasa.
Lipi hilo broo naomba unikumbusheMama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Uwe na mama dizaini ya magufuli😳😳😳Kila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSI
Ni kweli hawana ugomvi wowote. Tunamjua aliyepandikiza chuki nchini.Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania...
😅😅😅Uwe na mama dizaini ya magufuli😳😳😳
Maadui namba moja wa Rais Samia ni CCM yenyewe.Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?