mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nilijua hiki kitafuata,Hongera Sana Mama SAMIA kwa kuwa na sikio pana[emoji120][emoji120][emoji120]
Tundulissu Rudi nyumban,mchango wako unahitajika Sana huku[emoji87]
Ndugu yangu, yaonekana dhahiri kuwa unaongozwa na chuki katika hoja zako. Pole.Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa mwenye kichwa kama Bedford la mwarabu![emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani CCTV mlipeleka wapi wazee wa fedha? Imagine tukio lile lingefanyika kwa mbunge wa mboga mbogaItafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri akujibu basi kwamba Lissu arudi na atapewa ulinzi na vingora kila apitapoUlitegemea before kwamba Rais Samia angekubali kukutana na Lissu?
Na bado utasononeka saana, siku za kutesa watanzania wenzenu zimeshaisha.
Wapi babako joboSubiri akujibu basi kwamba Lissu arudi na atapewa ulinzi na vingora kila apitapo
Nyinyi chadema ni mabwanyenye sana, maalim seif alipambana mpaka dakika ya mwisho hakuwa legelege kama viongozi wenu walivyo
Ndio vizuri ajue ushetani wake ulivyodhuru TAIFA letu.Anakusikia ujue!. Nasikia masikio huwa hayafi shauri yako!
Ndugu yaonekana kamavile wajilazimisha kuandika hata vya kuokoteza. Pole sana hakuna kitu kibaya na kinachotesa kama kukaukiwa hoja.Mwambieni sasa huyo mr belgiji arudi, au kanogewa na amsterdam?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
elewa jambo moja,inshu sio katiba na samia,ccm na katiba,mma kwa sas mpango huo hana kwa maana ya chama ila ngoja awamu yake ya ukomo ccm watalia,mma ni msikivu sana.we huon nchi imetulia bwana,kwa sasa mam anatengeza mifumo bora ya kisiasa,ngoja la mbowe mengne yatakuja.kama katiba ataipa kpaumbele ccm watamgeuka na kumbeza.kikwete walishawah kumwambia kama anataka katiba bas awaachie chama chaoKama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.
Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti.
Lisu anaamini katika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Samia anaonekana sio muumini wa hivyo vitu hapa Sasa ndipo ugumu unapokuja.
Lisu aamue kukaa kimya au aendeleze mapambano.
Je, Samia atakubali?
Tuombe uzima
Sawa.Ndio vizuri ajue ushetani wake ulivyodhuru TAIFA letu.
Mabulungutu aliyokuwa anajichotea na kumwaga mwaga makanisani, misikitini hayawezi kumsaidia kujisafisha mbele za Mungu.
elewa jambo moja,inshu sio katiba na samia,ccm na katiba,mma kwa sas mpango huo hana kwa maana ya chama ila ngoja awamu yake ya ukomo ccm watalia,mma ni msikivu sana.we huon nchi imetulia bwana,kwa sasa mam anatengeza mifumo bora ya kisiasa,ngoja la mbowe mengne yatakuja.kama katiba ataipa kpaumbele ccm watamgeuka na kumbeza.kikwete walishawah kumwambia kama anataka katiba bas awaachie chama chao
Duh.Samia ni mmoja wa wauaji wa ndoto za watanzania. Kuua ndoto ni kulinda mifumo mibovu isiyoweza kuliendeleza taifa. Muua ndoto ni sawa na mhalifu wa kiwango cha genocide. Anapaswa auliwe yeye au afungwe mpaka Mwenyezi Mungu atakapoamua kumchukua