PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea Murongo, mji ulioko mpakani mwa Tanzania na Uganda, na kuendelea hadi nchini Uganda, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji.
Aidha, amesema reli hiyo awali ilipangwa kupita katika nchi mbili ambazo ni Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Aidha, amesema reli hiyo awali ilipangwa kupita katika nchi mbili ambazo ni Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).