Hata maelezo ya hapo juu yanaleta mkanganyiko kwamba mipango ya awali ya kupeleka SGR hadi Burundi na DRC imesitishwa na sasa wanapeleka Uganda au ni vipi?Isaka-Kigali haizungumzwi tena!!
Naona tu kuna ujenzi/uboreshaji kabambe wa bandari kavu pale Isaka kwa sasa inaweza kuwa ndiyo bandari kavu kubwa na ya kisasa Tz nzima kwa kinachoendelea mule.
Au Kagame ataichukulia SGR kwenye kipande cha Uvinza-Malagarasi-Musongati?
Kipande cha Kigoma-Burundi (Uvinza-Malagarasi-Musongati) tayari mkandarasi alishapatikana ni CRCG na ufadhili ni AfDB na jiwe la msingi la huo ujenzi liliwekwa August 2025!!Hata maelezo ya hapo juu yanaleta mkanganyiko kwamba mipango ya awali ya kupeleka SGR hadi Burundi na DRC imesitishwa na sasa wanapeleka Uganda au ni vipi?
ndo akili yenyewe unajiongza kutokana na uhitajiMradi mkubwa kama huu hauna master plan, watu wanajitungia tu mipango na ruti katikati ya mradi?
Huo uhitaji ulitakiwa uonekane wakati wa kutengeneza Master Plan ya mradi, nyie waswahili mnaita sijui "upembuzi yakinifu".ndo akili yenyewe unajiongza kutokana na uhitaji
Nani, huyo zero brain?!Kiboko ya Mabeberu
Ninakuelewa. Nina masikitiko makubwa sana kuhusiana na Isaka. Imepita miaka 20 toka nishiriki katika mchakato wa reli kutoka Isaka kwenda Rusumo. Lakini kama kuna mazungumzo kuhusu Rusahunga-Murongo, hii ni habari njema. Maana yake Isaka-Rusumo iko katika mpango. Sasa naweza kwenda kwetu Murongo kwa SGR, hata kama nitakuwa nimezeeka sana.Isaka-Kigali haizungumzwi tena!!
Naona tu kuna ujenzi/uboreshaji kabambe wa bandari kavu pale Isaka kwa sasa inaweza kuwa ndiyo bandari kavu kubwa na ya kisasa Tz nzima kwa kinachoendelea mule.
Au Kagame ataichukulia SGR kwenye kipande cha Uvinza-Malagarasi-Musongati?
Beggars country!ameiomba Serikali ya Uganda
Kwa distance reli ya kwenda Rwanda haiwezi kutoka Kigoma. Hiyo ya Uvinza-Malagarasi-Musongazi itakuwa imekusudia Burundi/DRC. Rusahunga iko karibu na Isaka-Rusumo (SGR Tabora-Mwanza) na Uganda kuunganisha kutoka Rusahunga ni wazo sahihi. Shida ni hii - tuna mipango mingi na mizuri lakini utekelezaji kuna shida. Reli ya Dodoma-Tabora-Mwanza bado sanaaa.Kipande cha Kigoma-Burundi (Uvinza-Malagarasi-Musongati) tayari mkandarasi alishapatikana ni CRCG na ufadhili ni AfDB na jiwe la msingi la huo ujenzi liliwekwa August 2025!!
Pengine Burundi-DRC ndiyo haijulikani muendelezo!!