Rais Samia: Tumepokea ripoti za uchunguzi, tutafanya mabadiliko Polisi

Na hili jambo la polisi kutumika kisiasa na chama tawala wanaliwekaje?.
 
Kama mazombi vile🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Upi huo? Mateja wanaongezeka, mapusha wanaongezeka, madila milango imefunguliwa kuingiza ngada
Mateja wanaongezeka? Shauri yao!! Mbona wewe na mimi siyo mateja?

Hata kusipokuwa ngada mtaani kama mtu ni mlevi atalinywa hata petroli au kuvuta patex
 
Na hili jambo la polisi kutumika kisiasa na chama tawala wanaliwekaje?.
Utaambiwa wananchi hawajawahi kulalamikia hiyo kero.
Hata issue ya Katiba Mpya walisema wananchi hawakuwahi kuinua mabango ya kudai katiba bali maji,afya,barabara nk.Kazi ya ccm ni kusikiliza na kufanyia kazi kero zao tu.
Enyi wanaccm,ubunifu wenu ni katika kutatua kero mlizosababisha wenyewe tu?Je,kutatua kero mlizosababisha ndiyo kuleta maendeleo?
 
Maswali yote huwa yanatangulia na majibu yanaandaliwa hakuna kukurupuka hapo
 
Ila cc wenyewe ndio tutamharibu mijitu ya bara cc hovyo sana.
Dogo acha porojo kumbuka ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia TV chogo 1988. Lazima utimize ahadi yako. Yaani nitakomalia hadi uniue. Ahad ni deni siwezi endelea kuishi na shida zote hizi wakati mbadala hupo wakunipeleka kurutubisha ardh..

Halaf rudisha jina la truberg kwenye id yako.
 
Muda umefika wa kulifanyia mabadiliko makubwa Jeshi la Polisi Tanzania, na ikiwezekana liongozwe sasa na Madam IGP pia.
 
‘kwamba mtoto lazima aende darasa la kwanza, la pili, la tatu, la nne, la tano, la sita? Kwa nini hamumtazami mtoto ana mwelekeo gani mkamuelekeza huko, akatoka mapema akaenda kwenye field ambayo anaweza akaifanyia kazi?
👍🙏
Kuna uwezekano mkubwa wa kuibua vipaji vya ajabu na hasa kwenye michezo na hasa kama kutakuwepo shule maalumu za michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…