Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu
Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara za kila mwaka kuanzia mwaka huu na kila miaka ijayo kama zamani”
Aidha, ameongeza kuwa nyongeza hizo hataziweka hadharani kuzuia tabia ya Watu kupandisha bei za bidhaa madukani mara nyongeza hizo sisemwapo hadharani