Kuna nyongeza ya 5000 kwa mwaka mzima? tupunguze chuki kwa Serikali. Chuki ikizidi ni maradhi.HAKUNA kitu Kama hicho.
Kwamba mwaka mzima, 5000 uione Kama milioni Sasa hivi, ambako hainunui hata kilo ya dagaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nyongeza ya 5000 kwa mwaka mzima? tupunguze chuki kwa Serikali. Chuki ikizidi ni maradhi.HAKUNA kitu Kama hicho.
Kwamba mwaka mzima, 5000 uione Kama milioni Sasa hivi, ambako hainunui hata kilo ya dagaa.
Haya ni napendekezo mazuri.Apunguze Kodi, PAYE.
Awaambie vyama vyake vinavyojiita vya wafanyakazi wapunguze Makato, wanaumiza wafanyakazi.
Africa mashariki yote, Tanzania ndio wafanyakazi wanakatwa Kodi kubwa.
KIKOKOTOO Cha KUSTAAFU ni uonevu.
Madaraja yapande kwa wakati.
Sasa ukiongezewa 5000 au 7000 alafu ukawekewa makato ya tozo kwenye ATM unakua umeongezewa nini?Nakubaliano na wewe ila mie pointi yangu ni kwamba hiyo elfu 5 na 7 mnayoidharau sii sawa na 0 hasa kwa watu wenye hali ngumu.
Kwenye ile 23.3% iliongezeka kiasi gani kwenye take home?Kuna nyongeza ya 5000 kwa mwaka mzima? tupunguze chuki kwa Serikali. Chuki ikizidi ni maradhi.
Unapokea 300,000 uongezewe 3,000 uione kama million!!?Si sawa na kukosa kabisa kabisa.
Hiyo 5,000, 7000 unayoidharau mwenzako anaiona kama milioni.
Wafanyakazi wanatumia pesa ngapi kutoka kwenye mishahara yao hiyo hiyo kufanya kazi za serikali????Nakubaliano na wewe ila mie pointi yangu ni kwamba hiyo elfu 5 na 7 mnayoidharau sii sawa na 0 hasa kwa watu wenye hali ngumu.
Sijui umeanza kazi lini. Though ilikua around 20000 hadi 40000, lakini haikua kila mwaka. Hapo inapaswa ulijue hili haikuwa kila mwaka, sio kweli kwamba 2006,07,08,09,10,11,12,13,14,15 ilikua inaongezeka.HV mnaochangiaga Hz mada huwa NI wafanya KAZI?nyongeza za mshahara Enzi za jk ilikuwa 5000 au 7000?
40,000 mpaka 10,000 kutegemea na Mshahara wa mhusika.Kwenye ile 23.3% iliongezeka kiasi gani kwenye take home?
Unaijua Annual increment??Kuna nyongeza ya 5000 kwa mwaka mzima? tupunguze chuki kwa Serikali. Chuki ikizidi ni maradhi.
The Sad Truth
Kikwete aliingia madarakani 2005 mfanyakazi mwenye digrii alikua anapata 150,000 hadi anaondoka 2015 TGDS D1 ilikua 716,000 jiongeze.Sijui umeanza kazi lini. Though ilikua around 20000 hadi 40000, lakini haikua kila mwaka. Hapo inapaswa ulijue hili haikuwa kila mwaka, sio kweli kwamba 2006,07,08,09,10,11,12,13,14,15 ilikua inaongezeka.
Annual increment ni sheria mbona JIWE aliikanyaga?Miaka Ijayo ?
Atakuwa na Mamlaka ya Kuamua Miaka Ijayo Akishatoka Madarakani ?; Ili kuacha kuchezewa na Maamuzi ya Watawala its about Time Sheria iwepo Kama Sheria na Sio Maamuzi au Matakwa ya Mtu kufanya maamuzi kila anapoamua au kujisikia...
By the way tatizo kubwa sio kuwapa hao wachache ongezeko la Ujira; Tatizo ni kuakikisha hawa walio wengi kitaa wanapata huo Ujira (hata huo usioongezwa majority hawana)
Chawa wake wanarukaruka huko eti ameupiga mwingiKwa lugha rahisi, hiyo ni annual increment.
Ambayo wala siyo kitu cha ajabu, Kwasababu ni ipo kisheria.
Pili, siyo hata pesa ya maajabu.
Ni Tsh 5,000, au Tsh 7,000, au Tsh 15,000, inategemeana na kiwango Cha Mshahara wako.
Tatu, hicho kiwango utakachopewa ujue labda kama ni Tsh 7,000 mtakigawana kwenye Makato ya LAZIMA ya vyama, Kodi.
Kwahiyo, KUSUBIRIA mwaka mzima, uongezwe Elfu 7 halafu ikatwe ubaki na AFU TATU ni mtindio wa UBONGO.
Sasa daraja si ndio ukubwa wa mishahara wenyeweInategemea na daraja pia ,in short Kuna mambo hataki kuyaweka hadharani!!
Pili jiongeze ndugu inchi Ina fursa kibao kopa wekeza
18,000x12 =?Sio kweli 5000 na 7000 haiwezi Kuwa kubwa hivyo.
Kitu pekee alipaswa kuondoa tozo kwenye miamala ya ATM. Kuliko kuongeza 5000 au 7000. Bora angewaondolea tozo za miamala kwenye ATM.
Tozo kwa mwezi bank Sasa hivi inafika hadi 18000
2005 TGSD na E ilikua 150000? uzuri hizi propaganda zinaisha hapa tu alafu kesho maisha yanaendeleaKikwete aliingia madarakani 2005 mfanyakazi mwenye digrii alikua anapata 150,000 hadi anaondoka 2015 TGDS D1 ilikua 716,000 jiongeze.
Hata huyo Samia anachokifanya ni utashi wake tu.Annual increment ni sheria mbona JIWE aliikanyaga?