MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Unayoijua ni kiasi gani?Naijua na wewe vipi unaijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayoijua ni kiasi gani?Naijua na wewe vipi unaijua?
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!Utaratibu huu ulikuwepo zamani lakini ukasitishwa kwa muda. Sasa Rais Samia leo akiwa Mei Mosi mkoani Morogoro amesema Serikali yake imeurudisha utaratibu huo na kuanzia sasa kila mwaka Wafanyakazi wataongezewa mishahara. Rais Samia anazidi kufanya makubwa kwa Wafanyakazi.
"Kuna nyongeza za mishahara za kila mwaka ambazo zilisitishwa kwa muda, nikaona mwaka huu nizirudishe, nyongeza hizo za kila mwaka zitaanza mwaka huu na zitaendelea kila mwaka"- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa Morogoro leo Mei Mosi kwenye siku ya wafanyakazi Duniani.
Wafanyakazi wanatumia pesa ngapi kutoka kwenye mishahara yao hiyo hiyo kufanya kazi za serikali????
Ni zaidi ya hizo.
Unamtoa mtu Lindi, unmwajiri Kigoma, hakuna nyumba za umma, anapanga Tena kwa Mshahara wake huo huo.
Kwahiyo Mshahara huo huo:
- Ulipe nyumba
- Ufanyie kazi za serikali
- Ulipe Michango eg Mwenge [emoji1787]
- Utapeliwe ( Matapeli wanaoshirikiana na Maafisa utumishi)
Hakuna specific kiasi kuna rate ambayo ni 5% of basic salary kwa walio perform vizuri sana 3% kwa walio perform vizuri na 0% kwa walio perform wastani.Unayoijua ni kiasi gani?
Na kuakikishia mama akuachi hv hv huu mwaka n wako na ww.Ehe mungu namimi niingie kwenye system huu mwaka
Watasema Mama anamnanga marehemuPigo kubwa kwa walinda legacy!!
Hujui kuwa huo mshahara wameu consolidate?
Kwahiyo Kama zamani walikuwa wanaonesha, kilichomfanya waache kuonesha ni Nini?Maana yake house and transport allowances humo humo huzioni , zamani walikuwa wanaonyesha kwenye slip.
Michango ya mwenge ni hiari, haipo kisheria.Michango wa mwenge ni hiari hakuna mfanyakazi anaelazimishwa atoa.
Tunapo sema yule jiwe alikuwa nduli wa taifa muwe unaelewa. Huu utaratibu ulikuwepo kisheria kila mwaka wafanyakazi kuongezewa fedha kukidhi hali ya maisha. Lakini Magufuli kwa ubinafsi na ukatili kwa kuwa yeye anakula kulala bure usafiri bure akazuia kupanda mishahara na hata ile nyongeza kwa mwaka ambayo ipo kisheria.Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
Daah! Yule mtu alikuwa shetani na nusuTunapo sema yule jiwe alikuwa nduli wa taifa muwe unaelewa.
Wewe jamaa unajua kweli mifumo ya Serikali ilivyo au unasimuliwa tu na wewe?Hakuna specific kiasi kuna rate ambayo ni 5% of basic salary kwa walio perform vizuri sana 3% kwa walio perform vizuri na 0% kwa walio perform wastani.
Kwakua hujapenda kusikia niyasemayo unahisi sikuelewa. Kilichofanyika siyo cha kuimbiwa ngonjera na mapambio humu.Unaonesha hata haujasoma kilichoandikwa.
Ikiwa kusoma huwezi basi hata kusikia pia huwezi?
Hata ikiwa buku nn elfu tatuElfu tatu eeh.
Nyongeza ni nyongeza tuElfu tatu eeh.
From 2016 kilikuwa kinaongezeka nn mpaka Samia anchukua uongozi?Sijui umeanza kazi lini. Though ilikua around 20000 hadi 40000, lakini haikua kila mwaka. Hapo inapaswa ulijue hili haikuwa kila mwaka, sio kweli kwamba 2006,07,08,09,10,11,12,13,14,15 ilikua inaongezeka.
Wewe huna kazi nini? Wafanyakazi wote wamefurahi leo kwa kuongezwa mishahara, wewe unahororoja bila mpango.Kwakua hujapenda kusikia niyasemayo unahisi sikuelewa. Kilichofanyika siyo cha kuimbiwa ngonjera na mapambio humu.