Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi
Wafanyakazi wanatumia pesa ngapi kutoka kwenye mishahara yao hiyo hiyo kufanya kazi za serikali????

Ni zaidi ya hizo.

Unamtoa mtu Lindi, unmwajiri Kigoma, hakuna nyumba za umma, anapanga Tena kwa Mshahara wake huo huo.

Kwahiyo Mshahara huo huo:

  • Ulipe nyumba
  • Ufanyie kazi za serikali
  • Ulipe Michango eg Mwenge [emoji1787]
  • Utapeliwe ( Matapeli wanaoshirikiana na Maafisa utumishi)
Katika kitu huwa nashangaa,ni kuona watumishi wenye mishahara mikubwa ndiyo pia wanaopewa posho ya nauli na nyumba na wale wa taki 3 ndiyo wanakomaa na vimishahara vyao katika kujilipia kila kitu.

Au ndiyo wanasimamia hapa?

Luka 19:26

“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa.
 
Wewe huna kazi nini? Wafanyakazi wote wamefurahi leo kwa kuongezwa mishahara, wewe unahororoja bila mpango.
Mshahara gani ulioongezwa? Hiyo annual increments au kitu gani?
 
Kasome post namba 1 au ingia youtube uisikilize hotuba ya kipenzi Rais wetu Mama Samia.

Ma jobless poleni lakini msikate tamaa, mama anazalisha kazi mpya kila kukicha.
Acha utabiri wa kienyeji, kimsingi hotuba yote nimeisikiliza ila sijaiona hotuba kwa ukubwa huo kama ulivyoiona chawa wa samia.
 
Kwa lugha rahisi, hiyo ni annual increment.

Ambayo wala siyo kitu cha ajabu, Kwasababu ni ipo kisheria.

Pili, siyo hata pesa ya maajabu.

Ni Tsh 5,000, au Tsh 7,000, au Tsh 15,000, inategemeana na kiwango Cha Mshahara wako.

Tatu, hicho kiwango utakachopewa ujue labda kama ni Tsh 7,000 mtakigawana kwenye Makato ya LAZIMA ya vyama vya wafanyakazi na, Kodi.

Kwahiyo, KUSUBIRIA mwaka mzima, uongezwe Elfu 7 halafu ikatwe ubaki na AFU TATU ni mtindio wa UBONGO.
Fedha ndogo sana ila Marehemu Mwendazake akaamua kuwadhulumu wafanyakazi.
 
Kama "hujaiona" kazi ni kwako.

Anza kufanya kazi, wacha kumtegemea dada'ko siku zote, utamzeesha mapemakum

Kama "hujaiona" kazi ni kwako.

Anza kufanya kazi, wacha kumtegemea dada'ko siku zote, utamzeesha mapema.
Kumbe hukunielewa nilipokuambia acha uganga wa kienyeji, kwani tunafahamiana tofauti na jamiiforum
 
Hii
Kwa lugha rahisi, hiyo ni annual increment.

Ambayo wala siyo kitu cha ajabu, Kwasababu ni ipo kisheria.

Pili, siyo hata pesa ya maajabu.

Ni Tsh 5,000, au Tsh 7,000, au Tsh 15,000, inategemeana na kiwango Cha Mshahara wako.

Tatu, hicho kiwango utakachopewa ujue labda kama ni Tsh 7,000 mtakigawana kwenye Makato ya LAZIMA ya vyama vya wafanyakazi na, Kodi.

Kwahiyo, KUSUBIRIA mwaka mzima, uongezwe Elfu 7 halafu ikatwe ubaki na AFU TATU ni mtindio wa UBONGO.
Ni kama kwenye basi la mkoani unasafir halafu anakuja mtu anauza 🍿 popcorn wakati ndani ya basi hakuna TV wafanyakazi wa tz tusande mama anashaurika sana na wezi za haki za watanzania#mfanyishwa#kazi#nguli
 
Apunguze Kodi, PAYE.

Awaambie vyama vyake vinavyojiita vya wafanyakazi wapunguze Makato, wanaumiza wafanyakazi.

Africa mashariki yote, Tanzania ndio wafanyakazi wanakatwa Kodi kubwa.

KIKOKOTOO Cha KUSTAAFU ni uonevu.

Madaraja yapande kwa wakati.
Rwanda wako vizuri
 
Nchi hii Ina fursa kweli.

Ila siku hizi, utumishi umegeuka JELA.

Kuna maeneo hayana fursa hata ya kufuga kuku.

Na ukishaajiriwa huko KUHAMA ni Kama unataka kupindus serikali.

""Na ukishaajiriwa huko KUHAMA ni Kama unataka kupindus serikali.""

I understand You.

#YNWA
 
Kwa lugha rahisi, hiyo ni annual increment.

Ambayo wala siyo kitu cha ajabu, Kwasababu ni ipo kisheria.

Pili, siyo hata pesa ya maajabu.

Ni Tsh 5,000, au Tsh 7,000, au Tsh 15,000, inategemeana na kiwango Cha Mshahara wako.

Tatu, hicho kiwango utakachopewa ujue labda kama ni Tsh 7,000 mtakigawana kwenye Makato ya LAZIMA ya vyama vya wafanyakazi na, Kodi.

Kwahiyo, KUSUBIRIA mwaka mzima, uongezwe Elfu 7 halafu ikatwe ubaki na AFU TATU ni mtindio wa UBONGO.

Acha uongo ww. Sio hizo unazosema. Fatilia. Mwaka 2017 Magufuli aliweka annual increments na ilikua km 2.3% ya basic salary. So ukitoa kinabaki cha kawaida kidogo lkn sio kwa udogo huo unaosema lkn pia inategemea na basic yako
 
Back
Top Bottom