Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

Yanatoka Uturuki mkuu

Ni tofauti na hizi? Na kama ni tofauti hizi ziliishia wapi?
 
Tusidanyanyane mkuu

Waziri wa Nishati akibakia huyu huyu itakua jambo la kawaida kabisa kwenda kuchomoana huko maporini.
Si aliwaambia mpeni miezi mitatu ndio critique zianze. Tuacheni kulalamika tuwe watu wenye initiative mfano hta nkikuuliza unataka majukumu ya waziri wa nishati yafanyiwe restructuring huna proposal, au hta replacement ya January hauna clue umuweke nani. So kuliko kulalamika njoo na practical solutions otherwise kila waziri atakayekuja utamuona tu hatoshi irrespective ya milestones zake
 
Umenene ya kweli tupu
 
Mama awe makini na madalali, siyo watu wazuri.....mradi unaweza kujikuta umetumia zaidi ya mara mbili ya gharama halisi kwa huu ujanja ujanja.....
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Good indeed
 
Kazi indelee Watanzani
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Tanzania tuko katika uelekeo sahihi sana tuendelee kumwombea rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan,

Tunakila sababu ya kujivuna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…