Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #61
Maswali gani?Mkimsaidia mleta mada kujibu maswali haya na ya wengine. Mtamuongezea kuaminika zaidi jambo ambalo ni jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali gani?Mkimsaidia mleta mada kujibu maswali haya na ya wengine. Mtamuongezea kuaminika zaidi jambo ambalo ni jema.
Yanatoka Uturuki mkuu
SGR idea ya awali ilianza na utawala wa BWM.Mtajitoa akili kwa visasi vyenu lakini Dunia nzima inajuwa kinachofanyika sasa ni umaliziaji wa kazi na ubunifu wa #JPM Bulldozer
Si aliwaambia mpeni miezi mitatu ndio critique zianze. Tuacheni kulalamika tuwe watu wenye initiative mfano hta nkikuuliza unataka majukumu ya waziri wa nishati yafanyiwe restructuring huna proposal, au hta replacement ya January hauna clue umuweke nani. So kuliko kulalamika njoo na practical solutions otherwise kila waziri atakayekuja utamuona tu hatoshi irrespective ya milestones zakeTusidanyanyane mkuu
Waziri wa Nishati akibakia huyu huyu itakua jambo la kawaida kabisa kwenda kuchomoana huko maporini.
Si aliwaambia mpeni miezi mitatu ndio critique zianze. Tuacheni kulalamika tuwe watu wenye initiative mfano hta nkikuuliza unataka majukumu ya waziri wa nishati yafanyiwe restructuring huna proposal, au hta replacement ya January hauna clue umuweke nani. So kuliko kulalamika njoo na practical solutions otherwise kila waziri atakayekuja utamuona tu hatoshi irrespective ya milestones zake
Good indeedMiradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%
Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,
Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Kazi gani hizo??!Kazi za mheshimiwa sana rais wa wanyonge Hayati Dk. J.P. Magufuli.
#kataawahuni
Hakika KaziindeleeMama chapa kazi, Kaziiendelee
Kazi indelee Watanzani![]()
===
Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL,
Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utiaji saini mkataba wa Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tatu kutoka Makutupora hadi Tabora.
Kipande hiki kina urefu wa kilometa 368, kitakachogharimu Dola za Marekani bilioni 1.908 sawa Sh4.41 trilioni kati ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Yapi Merkez kutoka Uturuki.
Amesema pamoja na hayo Serikali inaendelea kukamilisha ununuzi wa mabehewa ya mizigo 1,430 yenye thamani dola za Marekani US$127,206,300 sawa na TZS 292BL,
“Nitumie fursa hii kuagiza wizara na TRC kuhakikisha kuwa inasimamia kwa karibu ili kasi ya ujenzi iendane na kasi ya kusimamia ununuzi wa vifaa hivyo"
"Hii itafanya vifaa viwe vimekamilika sambamba na kukamilika kwa ujenzi wa reli. Vinginevyo miundombinu ya reli itakamilika huku tukisubiri kuwasili kwa vifaa na kuhakikisha ubora unaendana na thamani ya fedha."
“Nasema hivi kwa sababu miezi michache nimekaa katika Serikali hii nimeona kuna mambo yanataka kuanza kufanyika na mimi sitakubali yafanyike"
"Kwamba mradi unasimamiwa na wizara kupitia sekta husika, anatafutwa mkandarasi anapopatikana anakuwa na wasemaji wengi ndani ya nchi, na hasemewi bure watu wanajua watavuna"
"Sasa nasema mimi sijali mkandarasi atasemewa na watu elfu ninachotaka kusema nataka reli iwe ya viwango tulivyokubaliana,” amesisitiza
===
Akina nani?!Achana na hawa watu wanaoabudu mizimu! Hawa wana matatizo ya akili tu!
Uko sawa kabisaSGR idea ya awali ilianza na utawala wa BWM.