Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

 
Saa 100 aombe msamaha thubutu!, alivyo na kiburi cha kizenji yule

Zaidi ataendeleza dharau na ligi kwa kukomoa watanganyika kwa tangazo la uteuzi lilojaa wazenji
Jamaa unamchukia S100 kwelikweli,kuna mtu alikuwa jeuri na kiburi kama Mwenda zake?
 
Kwani mkataba ulishasainiwa?
 
Kula chuma icho!
Your browser is not able to display this video.
 
 
Ukweli hafai hata kidogo
 
Aibu sn kwa kweli
 
Mama hawezi kuomba radhi kwa jambo lenye maslahi kwa Watanzania. Tulieni tu faida za uwekezaji wa DP World mtazijua huko mbele ya safari.
 
Mh Rais Samia ni msikikivu Sana,Mnyenyekevu Sana,Muungwana sana,Mpole kwenye mambo yanayohitaji utulivu..Mwingi wa upendo..Ni Kiongozi Mahiri na amakwiva mnoo..

Mh Tundu Lissu alipopigwa lisasi Mh Samia alibeba dhamana kubwa kumtembelea pale Nairobi Hospital licha ya Upinzani mkubwa toka ktk Chama..Haikuwa jambo rahisi..Kwa kuzingatia mazingira na nyakati..Mama Ana utu mnoo..

Hakika Hana dharau Kwa wananchi (Maskini ,Matajiri,Wakulima na wafanyakazi,Wanamichezo,Wamachinga,Bodaboda,Wauza Baa,Wanafunzi..

Nina imani ni suala la muda atazungumza na watanzania na Kwa ujasiri na ushupavu mkubwa kuweka mambo sawa Kwa maslahi makubwa ya Taifa huku akidumisha mshikamano,uhuru,Umoja na Uzalendo..

Uhuru na maslahi mapana ya Taifa letu ni muhimu kuliko chochote..Ama Kwa hakika amesikia kilio,Ushauri,Hoja,Mapendekezo na matamanio ya wananchi walio wengi..
 
Mimi namshauri ang'atuke kabisa kwa kitendo alichofanya kutufanya kua submissive kwa waarabu

Hiyo haikupaliki kabisa pride ya Tanzania ni kubwa sana kujiuza kwa hao waarabu
Una akili za kizamani mno mkuu Mlamba. Dunia ya sasa hivi ni ya kutazama unaingiza nini hazina.

Man City wamenunuliwa na tajiri wa kiarabu na wamebeba makombe matatu kwa mara ya kwanza katika historia, ina maana na Waingereza na wao wamekuwa submissive kwa waarabu?.

Hawa DPW wapo Southampton na London wakifanya shughuli hizi hizi za bandari, kwa hiyo waingereza wameamua kwa dhati kabisa kuwa watumwa wa waarabu.

Hizi ni akili za kimaskini sana yarabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…