tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 403
- 762
mbona hayo maslahi hayaleti kwenu makunduchi huko? acha ufala kichwa flat weweMleta mada wahi mirembe. Yaani Rais aombe radhi kwa kufanya jambo lenye maslahi mapana na faida kwa Taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hayo maslahi hayaleti kwenu makunduchi huko? acha ufala kichwa flat weweMleta mada wahi mirembe. Yaani Rais aombe radhi kwa kufanya jambo lenye maslahi mapana na faida kwa Taifa?
Tangu lini Ruvuma kukawa makunduchi?mbona hayo maslahi hayaleti kwenu makunduchi huko? acha ufala kichwa flat wewe
Jamaa unamchukia S100 kwelikweli,kuna mtu alikuwa jeuri na kiburi kama Mwenda zake?Saa 100 aombe msamaha thubutu!, alivyo na kiburi cha kizenji yule
Zaidi ataendeleza dharau na ligi kwa kukomoa watanganyika kwa tangazo la uteuzi lilojaa wazenji
acha wenye tanganyika yao waongee, wewe kichwa flat baki uko uko makunduchi.Ya huku waachie wenyeweTangu lini Ruvuma kukawa makunduchi?
Hama nchi jinga wwMimi namshauri ang'atuke kabisa kwa kitendo alichofanya kutufanya kua submissive kwa waarabu
Hiyo haikupaliki kabisa pride ya Tanzania ni kubwa sana kujiuza kwa hao waarabu
Kwani mkataba ulishasainiwa?Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu.
Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera ya CCM..Walilipa fedha, Walizunguka nchi nzima wakijinadi Kwa wanachama (Wajumbe) na wananchi. Mwenyezi Mungu hakuwapa nafasi kupitia michakato mbalimbali ya Chama na kitaifa..
Ilimpendeza Mungu Hayati JPM awe kiongozi Mkuu wa taifa hili tajiri na wewe kuwa Msaidizi wake au makamu wake. Mungu alimpangia Siku,saa,mazingira ya kutwaliwa ktk mwili..Mwili wake umefariki huku roho yake ikisubiri hukumu Kama ilivyo Kwa wanadamu wote Kwa mujibu wa maandiko..
Yamkini nia na makusudi ni njema kabisa Kwa mujibu wa upembuzi wa viongozi wetu haswaa ktk kukuletea taifa tija Kina endelea ELIMU, AFYA, MIUNDOMBINU, N.K. Kwa lilivyo hili jambo sio jepesi ni zito mnoo. Limeenea mnoo..Lina ukakasi mnoo,Halina amani. Halina furaha. Halina utulivu. Linachakata mioyo, roho, fahamu Za wananchi maskini, wenye kipato cha kati na wasomi (Elimu bure imeleta effect ktk fikra)..
Viongozi wetu, Mitihani ktk maisha ya Uongozi haina budi kuruhusiwa kuwapata..Fanyeni toba Kwa Mwenyezi Mungu. Ombeni hekima na busara. Fanyeni maamuzi magumu yenye kuleta amani,Utulivu na mshikamano..
Kwa Heshima na unyenyekevu mkubwa nikuombe Mh Rais ikikupendeza hutubia taifa Kwa muda utakaokufaa na Utoe ufafanuzi wa mapana,Omba radhi kwenye mapungufu, Elimisha itakapobidi,Wajibisha wanaopaswa kuwajibishwa ,Toa dira mahsusi, Kemea uzembe wote (Watumishi na Viongozi wote wa umma hutenda kazi Kwa niaba yako Mh Rais,..Huwezi kufika kila mahali. Huwezi soma kila kitu,Huwezi fuatilia kila jambo..Huwezi saini kila nyaraka.
Mwisho usisahau kuwasamehe wote wate waliokukosea,Kukuudhi,Kuumiza moyo,na kukukwaza sana ktk kipindi hiki..Ni mtihani kwako. Mwenyezi Mungu anatusamehe makosa yetu tunaposamehe wengine wanaotukosea.
Kwa kuwa watendaji wako na wasaidizi wako ni binadamu hivyo wana mapungufu Kwa namna moja au nyingine hivyo hawawezi kuwa sahihi Kwa kila jambo Kwa kuzingatia changamoto za kimazingira, elimu, Utandawazi na mengineo.
Nina imani Watanzania wana imani na uongozi wako na jitihada zote ufanyazo ktk kuimarisha na kujenga umoja wa kitaifa. Kwa hotuba yako mjadala utakoma na mengi mema yako na serikali yatatamalaki zaidi..
Kula chuma icho!Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu.

Ukweli hafai hata kidogoUmeandika vema. Sijui kama wanaweza kupona maana hatujui ugonjwa ulishaingia mwilini kwa kiasi gani maana wanajua kutunza siri. Ila neno moja ninaloliskia mijini na vijijini wanasema huyu hatufai, kama ameuza bandari zetu na zao hajauza hatufai aondokeeee. LAKINI sijui pia kama yeye au wao wanahisi maumivu ya watanganyika ktk hili.
Aibu sn kwa kweliHakika, anatakiwa kuomba radhi, kwasababu mpaka leo bado sijaona jibu lolote la maana toka kwa serikali yake kutetea ule mkataba wa kinyonyaji.
Zaidi, anathibitisha udhaifu wake, badala ya kusimama na kuonesha namna amejipanga kutatua tatizo, akiwa kama amiri jeshi mkuu, yeye ndio kwanza amejificha, hii nchi haina kiongozi kwa sasa.
Una akili za kizamani mno mkuu Mlamba. Dunia ya sasa hivi ni ya kutazama unaingiza nini hazina.Mimi namshauri ang'atuke kabisa kwa kitendo alichofanya kutufanya kua submissive kwa waarabu
Hiyo haikupaliki kabisa pride ya Tanzania ni kubwa sana kujiuza kwa hao waarabu
WatatapikaTatizo pesa walizohongwa