Kama machogo mnaona mnaumizwa kwenye huo mnaoita muungano, kwa nini bado mnaung'ang'ania? Acheni Zanzibar ijitawale (full autonomy) halafu ondoeni majeshi yenu ya vamizi Zanzibar. Wazanzibar watashirikiana na ndugu zetu waliopo Oman, Iran, India, UK, Canada, n.k. kuleta maendeleo visiwani. Kwani kabla ya muungano tuliishije?