Mkuu Leak, aridhi za kumilikishwa au kusaidiwa kumili, hata huku bara, hazipo! Wewe pambania kumiliki au fursa yoyote uitakayo, lakini ukisubiri kutafuniwa, utakufa masikini...
Unapiga chenga hoja.... hoja mbona dar watu wa zanzibar wana viwanja na mashamba ifakara.. ila watu wa bara haturuhusiwi kumiliki kiwanja zanzibar.. wapemba kibao wana nyumba dar.. je kuna mchaga hata mmoja mwenye nyumba zanzibar?