Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

Mh Rais...Bwana asifiwe...

Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha wazanzibari wanapata nafasi mabli mbali huku bara na bila kusahau umehakikisha wazanzibar wana nufaika na Muungano wetu..

Mimi naleta ombi moja kwako kuhakikisha unachukua hatua za kutusaidia sisi wa bara kumiliki ardhi kule zanzibar na pia kushiriki kikamilifu kwenye serikali ya zanzibar hasa kwenye nafsi za uteuzi kama wazanzibar wanavyo tamba kwenye nafsi za uteuzi huku bara na hii itaimarisha sana Muungano na undugu wetu.

Ni hilo tuu Mh Rais
Wacha hizo, hii ni Nji moja Bro. Kuna Watanganyika wengi tu wana nyumba huko, na ni wengi tu waliopata kushika madaraka. Wamo Hassan Moyo Mmatengo, Muhamed Shamte Mzigua, Egginton Kissasi Mchagga, Idi Ali Mha, na Ramadhani Mapuri Msukuma. Labda the most famous ni Rais Ali na Rais Hussein, wote wawili wa Mkuranga.
 
Ardhi yenyewe ya Unguja na Pemba ina ukubwa gani?, ni kanchi kadogo sana
Acha uongo ile nchi ni kubwa na ina watu wachache ukilinganisha na nchi nyingine ndogo kuliko Zanzibar na zina watu mara mbili ya waliopo Zanzibar kwa sasa.

Wazanzibar ni wabinafsi tu. La hasha muungano unawabeba na kuwapa favors nyingi kama kumiliki ardhi Tanganyika wakati watanganyika hatuna haki ya kumiliki ardhi kwao.

Yafanyike marekebisho kama kweli sisi ni nchi moja.
 
Mwinyi ametoka mkuranga akawa Rais Zanzibar, vipi kuhusu mwakanjuki ni mzanzibari yule mbona alikuwa waziri tena wa ardhi. acheni ujinga fanyeni kazi
 
Kwa hiyo sheria inaruhusu mtanganyika kumili ardhi zanzibar?
Inaruhusu ukiwa na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi, ambacho kwa asiye mzanzibari ni lazima uishi kule si chini ya miaka kumi ndo unakipata.
 
Utaambiwa hilo halipo kwenye muungano
Lipo na ndio maana mwinyi na mwanawe wote sio Wanzanzibar na wamekuwa marais .. njoo nikuowe kama untaka kiwanja shinda iko wapi leta msabwanda uwo wa kibara.
 
Pia tusilipishwe hela nyingi bandarini tunapobeba vitu kutoka znz kuja navyo bara
 
Mh Rais...Bwana asifiwe...

Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha wazanzibari wanapata nafasi mabli mbali huku bara na bila kusahau umehakikisha wazanzibar wana nufaika na Muungano wetu..

Mimi naleta ombi moja kwako kuhakikisha unachukua hatua za kutusaidia sisi wa bara kumiliki ardhi kule zanzibar na pia kushiriki kikamilifu kwenye serikali ya zanzibar hasa kwenye nafsi za uteuzi kama wazanzibar wanavyo tamba kwenye nafsi za uteuzi huku bara na hii itaimarisha sana Muungano na undugu wetu.

Ni hilo tuu Mh Rais
Huna hoja wewe mgalatia kakojoe ukalale.
 
Mh Rais, Bwana asifiwe!

Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi mablimbali huku bara na bila kusahau umehakikisha Wazanzibar wananufaika na Muungano wetu.

Mimi naleta ombi moja kwako kuhakikisha unachukua hatua za kutusaidia sisi wa bara kumiliki ardhi kule Zanzibar na pia kushiriki kikamilifu kwenye serikali ya Zanzibar hasa kwenye nafsi za uteuzi kama Wazanzibar wanavyotamba kwenye nafsi za uteuzi huku bara na hii itaimarisha sana Muungano na undugu wetu.

Ni hilo tu Mh Rais.
Bora aondoshe wazanzibari kumiliki ardhi bara. Nadhani itakuwa draw sio.
 
Mbona afya si swala la muungano stil Samia kamteua mzanzibari kuwa naibu waziri 'tena ni yule naibu waziri asiyejua kusoma'
Kwa sababu ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sio serikali ya Tanganyika.

Tulieni mtanyooka, tukidai mamlaka yetu mnatwita magaidi.
 
So TANGANYIKA sio nchi kamili, dawa ndugu zetu wabara tuanze kampen ya miaka kumi kuanzia Sasa ya kuoa Zanzibar baada ya mda tutakua na mchanganyiko Safi na ni kizazi icho kitakuja fanya vizuri Sana kwenye muungano,
Tanganyika sio nchi kamili kwasasa ndio maana hakuna serikali ya Tanganyika, kuna Zanzibar na Muungano tu, kuhusu kuoa watu wanaoa mpaka wazungu, hiyo Aina maana utachezea taratibu za nchi ya watu
 
Ili kuimarisha muungano wetu ingestahili jambo hili likafanyika at least wabara wakaingizwa Unguja na pemba kimkakati na wazanzibara wakamilikishwa ardhi bara kwa wingi sana, (the acts of mixup) hili baada ya muda lingesaidia kuondosha chokochoko uchwara although wazanzibar huku bara ni wengi pengine ni nusu ya waliopo zanzibar (silence mission needed).
Ningefurahi eneo kama mkuranga wakazi wake wengi wakawa ni jamii toka zanzibar.
#sorry bang ya leo Kali sana.
 
Kama Samia ni raisi wa Muungano unayajua masuala ya Muungano ( Union Matters)
Hivi mnaelewa mkiambiwa mama Samia ni Rais wa muungano? maana yake Serikali yake yote ni ya muungano , watafanya kazi kwa ajili ya nchi kamili ya Zanzibar na nchi ilioko kwenye makaratasi Tanganyika
 
Mwinyi ametoka mkuranga akawa Rais Zanzibar, vipi kuhusu mwakanjuki ni mzanzibari yule mbona alikuwa waziri tena wa ardhi. acheni ujinga fanyeni kazi
Sasa Nani hafanyi kazi ?

Kwani Samia si mzanZibar mbona kawa raisi ?
 
Mwinyi ametoka mkuranga akawa Rais Zanzibar, vipi kuhusu mwakanjuki ni mzanzibari yule mbona alikuwa waziri tena wa ardhi. acheni ujinga fanyeni kazi
Humu kuna wengine ni wale watoto wamekuzwa na zile nyimbo za Diamond na Ali Kiba, hawawezi kumjua Brigedia Mwakanjuki, hawawezi kuijua familia ya Eric Nditi ni kuwasamehe bure tu.
 
Kwa sababu ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sio serikali ya Tanganyika.

Tulieni mtanyooka, tukidai mamlaka yetu mnatwita magaidi.
Ujumbe wa huu uzi ni kinyongo tu cha kwanini Samia awe rais leo hii. Watu bado ukiwaona wanaishi leo hii lakini akili zao bado hazijakubali kuwa JPM hayupo tena duniani.

Sasa wanaanzisha uzi kama huu ili kumpiga vijembe Mama Samia, lakini haiwezi kuwasaidia kwani Hayati aliufahamu uwezo wake kikazi na akamchukua ili awe makamu wake.
 
Tanganyika sio nchi kamili kwasasa ndio maana hakuna serikali ya Tanganyika, kuna Zanzibar na Muungano tu, kuhusu kuoa watu wanaoa mpaka wazungu, hiyo Aina maana utachezea taratibu za nchi ya watu
Ka , kwamba kuchumbia Zanzibar ni kuchezea taratibu za watu mkuu ,sio fair
 
Back
Top Bottom