Mkuu Leak, aridhi za kumilikishwa au kusaidiwa kumili, hata huku bara, hazipo! Wewe pambania kumiliki au fursa yoyote uitakayo, lakini ukisubiri kutafuniwa, utakufa masikini...
Wapo! Ninamjua Mchungaji mmoja msukuma ana nyumba kadhaa Unguja!Unapiga chenga hoja.... hoja mbona dar watu wa zanzibar wana viwanja na mashamba ifakara.. ila watu wa bara haturuhusiwi kumiliki kiwanja zanzibar.. wapemba kibao wana nyumba dar.. je kuna mchaga hata mmoja mwenye nyumba zanzibar?
Kwani RAS wa pale alikuwa na elimu gani na alifanya kosa gani.mpaka mama akamtengua?wajuvi tujuzeni...Asante,alimteua mbunge wa kidato Cha nne kuwa RAS.
We mla urojo aka mdebwedo utamuweza kweli Mtanganyika ngangari mla nguna? kutwa mwanaume umevaa msuri .Ujinga upumbavu watanganyika ujinga unawamaliza hamtushukuru kwamba WAZANZIBAR tukikutawaleni huwa hatuna issue ya kukutieni katika viroba tukawatupa ktk mto msimbazi
Wazanzibar wanatufaidi sana bara huku wanajimilikisha ardhi kama vile wapo kwao ZenjMh Rais...Bwana asifiwe...
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha wazanzibari wanapata nafasi mabli mbali huku bara na bila kusahau umehakikisha wazanzibar wana nufaika na Muungano wetu..
Mimi naleta ombi moja kwako kuhakikisha unachukua hatua za kutusaidia sisi wa bara kumiliki ardhi kule zanzibar na pia kushiriki kikamilifu kwenye serikali ya zanzibar hasa kwenye nafsi za uteuzi kama wazanzibar wanavyo tamba kwenye nafsi za uteuzi huku bara na hii itaimarisha sana Muungano na undugu wetu.
Ni hilo tuu Mh Rais
Naunga mkono hojaMh Rais...Bwana asifiwe...

Sawa ila maboresho yafanyike yaondolewe , hayana tija tukitaka muungano uwe mzuri zaidiNataka mfahamu hii Wa Zanzaibari wote wana haki popote tanzania sababu ni watanzania.
Si watanzania wote wenye haki zanzibar ila uwe mzanzibari. hii ndio ilivyo na ndio katiba ya nchi.
kama si mzanzibari huna haki
- kupiga kura zanzibar kumchaguwa raisi wa zanzibar
- ya kucha gua mjumbe wa baraza la wakilishi
- ku miliki Ardhi
- na mengine.
Tetesi za mzee wetu mzabuliwa kibao kufa ni za kweli?
Ni ndugu yake huyo naibu waziri kilazaMbona afya si swala la muungano stil Samia kamteua mzanzibari kuwa naibu waziri 'tena ni yule naibu waziri asiyejua kusoma'
Wakati mwingine watanzania akili zetu ni za kipumbavu sana.Sijui tunakwama wapi sisi Watanganyika!!!
Watanganyika milioni 60 tumeshindwa kumtoa kiongozi miongoni mwetu atutawale, kaja mvaa ushingi toka miongoni mwa watu milioni 1 ndio kawa kiongozi wetu.
Hiyo si ajabu, ajabu ni kwamba sisi watu milioni 60 hatuwezi hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
So TANGANYIKA sio nchi kamili, dawa ndugu zetu wabara tuanze kampen ya miaka kumi kuanzia Sasa ya kuoa Zanzibar baada ya mda tutakua na mchanganyiko Safi na ni kizazi icho kitakuja fanya vizuri Sana kwenye muungano,1.Zanzibar ni nchi kamili huwezi kumiliki ardhi kama hauna sifa.
2.Halafu nafasi za uongozi wanazotamba nazo ni za muungano, maana Zanzibar ni sehemu ya muungano, hakuna nchi Inaitwa Bara duniani kwasasa

Kuijadili Zanzibar kwa hoja zako hizi ni kupoteza muda.Sasa mbona wanalilia haki sawa kama hoja ni ukubwa?