Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

..wao wanavyoharibu uchaguzi, kuteka, kutesa, na kuua, haoni kama ni kuvuruga amani?
Na hayo siku zote ndio yanayo zalisha kina maTraore Afrika nzima. Mfundisheni aelewe, viapo vyao wale ni KUILINDA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Sijawahi sikia wameapa kuwa "naapa kumlinda bwana au bibi fulani" Achunge sana hao makada na machawa hawamtetei yeye bali wanapigania matumbo yao. Hajajifunza kwa ya Ummy Mwalimu swahiba yake mkuu?
 
Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Clueless despot

Does she honestly think “HAYO MENGINE” hawezi kufanyiwa yeye na mkwewe Mchengerwa na familia yao ya kikora??

Anajiaminisha hivyo “vyombo vya usalama” vipo kwa ajili yao tu.

Kiazi kweli yan🚮🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…