TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Yuko rightMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Yuko rightMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Martha karua anataka kugombea kenya 2027.Kwahio hayo mengine anabariki yeye?ya Ulawiti na ubakaji?Subiri kesi ya Kina Martha karua iive, atasema tu
Ukiwa na haki amani inafuata kama maji yanavyotiririka kutoka mlimani kushuka chini.KIla mtu amekazana amani amani. Ukweli kila mtu alitakiwa awe anaimba haki haki.
Kwa hiyo hapo gawajalazimishwa, haya wakilazimishwa inakuwaje....?Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Samia kwa kweli ni kama mmama fulani aliyechomekwa kazi ya u secretay tu na kuwapatia mabosi chai, halafu akajiungaunga na kujipitishapitisha mpaka kaja kutokea kuwa rais bila ya kujua kazi ya urais.Prezda hyo
Ova
Kufanya mengineeNi jambo jema
Sijui kala maharage ya wapiTanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu 🤣.
Umemaliza 100% ndiyo tafsiri sahihi ya huyu kiumbe. Hamna kitu humo, hii kazi kwake ni kubwa sana, imemzidi maarifa, uvumilivu na utendaji. 🙌🙌🙌Samia kwa kweli ni kama mmama fulani aliyechomekwa kazi ya u secretay tu na kuwapatia mabosi chai, halafu akajiungaunga na kujipitishapitisha mpaka kaja kutokea kuwa rais bila ya kujua kazi ya urais.
Waliona wajenge undugu na urafiki juu imekuwaje tena?Ila no chombo gani hicho au jombo?Kuna yule kiongozi wa ACT kuna kitu kasema sasa hivi anatafutwa na vyombo....!
Cha mchongoWaliona wajenge undugu na urafiki juu imekuwaje tena?Ila no chombo gani hicho au jombo?
Tumefikajemoo?Mengine ni kuteka, kubaka na kuua
I second this na nilishalisema tangu aliposema unalichagua lijitu lililopotoka huko nje kisha linakuja kuharibuRais aandikiwe hotuba. Maana yanamtoka ya moyoni