Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

Samia kwa kweli ni kama mmama fulani aliyechomekwa kazi ya u secretay tu na kuwapatia mabosi chai, halafu akajiungaunga na kujipitishapitisha mpaka kaja kutokea kuwa rais bila ya kujua kazi ya urais.
Umemaliza 100% ndiyo tafsiri sahihi ya huyu kiumbe. Hamna kitu humo, hii kazi kwake ni kubwa sana, imemzidi maarifa, uvumilivu na utendaji. 🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…