Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

Yule wa Sri Lanka walimtoa nduki kama panya buku................hapa ni kujiandaa tu pakichafuka unawai ile flat ya kutazamia maokoto ya inchi
 
Wewe ni mtawala endelea kutawala ila sisi hatuvunji amani kwa kutokwenda kupiga kura.
 
Hajui unyanyasaji na ukiritimba wa serikali ya CCM nayo inalazimisha Raia kufanya mambo mengine?
 
Kwa hiyo hayo "mengine" bado hawajaanza kufanya au sio?...
Wameshafanya "yale" sasa msiwalazimishe wafanye "mengine" haya "mengine" yatakua ni makubwa zaidi ya "yale". Mambo yanazidi kuchemka.
 
Sahihi kabisa, vyombo vya dola havilianzishwa kwa ajili ya mapambo
 
kwani mengineyo chadema mnayoyafanya mnafikiri hatuyajui

binafsi naona ni sawa jeshi likila sahani moja na yoyote anayeichezea amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…