Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Huenda hayo Mengine ni kupigwa hadi kuchakaa, kwa wale wasiotaka kutii maelekezo/amriMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
KutekaMengine yapi?
😂😂😂Yule wa Sri Lanka walimtoa nduki kama panya buku................hapa ni kujiandaa tu pakichafuka unawai ile flat ya kutazamia maokoto ya inchi
oMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Mkuu kariba ya Hayati JPM na mgombea mwenza zimefanana sana.I second this na nilishalisema tangu aliposema unalichagua lijitu lililopotoka huko nje kisha linakuja kuharibu
Usicheke shekhe.............kuna watu walitoka mpaka na godoro vyombo vya jikoni thamani za ndani na Mazaga kibao..............chezea hasira za umma
Si wenyewe wageni mitaa hii …muulize mzee yule pale👆🏾Mengine yapi hayo
Ova
Amani mbona inachezewa na wasiojulikana ila polisi mbona haiwadhibiti ili kulinda amani?kwani mengineyo chadema mnayoyafanya mnafikiri hatuyajui
binafsi naona ni sawa jeshi likila sahani moja na yoyote anayeichezea amani
nilisikia huko Kwa Kibao kwamba damu hatamwagika bure watafanya kitu huenda washa fanyaHuyu anachanganyikiwa vibaya!
o