Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Huu ujinga wakujisifiasifia kijinga uliasisiwa na shetani.
 
10 yrs ago nikiwa chuo wapo baadhi walipata ufadhiri wa wizara ya fedha wakati yetu ikitoka kapu la serikali walikuwa wanalamba 10,000 tulikuwa tunawaona kama bharhesa
 
Haa huyu raisi si wa kumwamin kabisa yeye yupo tiari kumridhisha na kumfurahisha kiLa mtu lakini kumbe hazina hamna kitu .waulize wale watumishi wa meimosi waakaambulia 10000
Utakufa kwa presha na wivu wako kwa kuona mh Rais anavyokubalika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania, watumishi wakamkubalia Sana mh Rais na kumuunga mkono,kwa kuwa ndani ya muda mfupi wengi wao walipandishwa madaraja na kulipwa stahiki zao,malimbikizo ya madeni Yao wengi wamelipwa ,mishahara wamepandisjiwa kwa 23% hasa wale wa kima Cha chini
 
Wanafunzi wa vyuo washazungushiwa fensi
 
mpwayungu village kaongezewa boom Basi waalimu mjiandae kutukanwa Sana safari hii kila akisaini boom anapiga K Vant then Hasira zote kwa waalimu wa Tz.
 
Hiyo hela ni ndogo sana!

Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%....
Kwahiyo mkuu 2025 utamchagua nani?
 
Ni sawa kabisa coz alicontrol inflation vilivyo.hakukua na kujipangia bei kiholela kwa wafanyabiashara kama ilivyo sasa.

Inflasheni ya ny0kh0? Alikuta sukari 1500 ameondoka 2800 ,mchele 1800 super ,ameondoka mchele 2800 ,mafuta ya kupikia lita 3500 kaondoka lita elfu 6 ,mafuta ya taa 900 kaondoka 2800 ,nauli ferry ilikuwa 100 kaipandisha hadi 200 akasema asiyeweza apige mbizi.
 
Kama alikuwa na sifa na alichagua kozi za kipaombele kwa mujibu wa miongozo unapokuwa umetolewa na akawa amekosa mkopo ilitakiwa skate rufaa muda ule ....
Ahahahahah! Kwahiyo unahisi unanifafanulia nisichojua? Ahahahahah! Kwa taarifa yako, mimi babaake mzazi ni mnufaika wa mkopo 2006 hadi 2009. Sasa hivi kuna utaratibu wa hovyo afadhali kipindi chetu. Anyway, kwakuwa mimi babaake nipo, mwanangu atasoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…