Acha kutukana watu usiowajuaInflasheni ya ny0kh0? Alikuta sukari 1500 ameondoka 2800 ,mchele 1800 super ,ameondoka mchele 2800 ,mafuta ya kupikia lita 3500 kaondoka lita elfu 6 ,mafuta ya taa 900 kaondoka 2800 ,nauli ferry ilikuwa 100 kaipandisha hadi 200 akasema asiyeweza apige mbizi.
Acha kuwasingizia hovyo wafanyabiashara usiowajua.Acha kutukana watu usiowajua
Ila we jamaa una upumbavu mwingi sanaNdugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi Zaid Barani Afirika kwa Sasa na ambaye hotuba zake zinatajwa kuwa Bora,zenye kugusa mioyo ya watu...
Sisi wenye watoto wasiokuwa na mkopo tupo wengi mkuu. Badala ya kuongeza boom wangeongeza idadi ya wanufaika.Yaani kwa mwanangu aliyepo chuoni Dar mwaka wa kwanza tena chuo cha serikali na hana mkopo kabisa, akikuona atakuchapa makofi. Tena na mimi ntamuunga mkono akuchape makofi kwa maana hakuna namna!
Hiyo ndio point yangu Mkuu! Unasifiaje kuwaongezea walio nacho huku kuna wengine hawana kabisa! Lakini ndugu, Wacha sie wazazi wengine tujibanebane watoto wetu wasome. Mwisho wa siku wakati wengine wanalipa mikopo yao, wa kwetu labda watatukumbuka kutununulia scooter za uzeeni! Ahahahahah!Sisi wenye watoto wasiokuwa na mkopo tupo wengi mkuu. Badala ya kuongeza boom wangeongeza idadi ya wanufaika.
Mataga wa sukuma ganga sasa hivi Mnapinga pinga kila kituHiyo hela ni ndogo sana!
Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%...
Ulishawai kuwa mwanafunzi ulileta mabadiliki Gani?...unazani ni rahis kutoka mbele kuleta mabadiliko Dunia ya sasa. Ukiangalia background ya family ..na sasa hivi kuku fire ni jambo la dakika.....mavi matupu mwenyeweHiyo hela ni ndogo sana!
Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%....
Naona umeweka namba ya simu ili ufuatwe sio na wenye hoja, ila watakaosikia ukijikomba. Acheni ujinga. Huyo Rais unaempaka mafuta kwa mgongo wa chupa hakubaliani na wewe.Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi Zaid Barani Afirika kwa Sasa na ambaye hotuba zake zinatajwa kuwa Bora,zenye kugusa mioyo ya watu
Sio mbaya sana kwasababu ni mkopo huoHizo fedha zinatoka wapi wakati madarasa tu yanajengwa kwa akiba ya fedha za kigenu.
False hope.
Hawatoi mkuuKwani siku hizi hampewi?
Ni aibu kwa mtu mzima kama wewe kupigwa ban ya kijinga namna hiiMavi wewe na ukoo wako uliouacha pale nyololo....
Mara elfu moja Samia kuliko yule mchawi na mwizi aliyelala Chato!
Nitamchagua mtu mwenye sera nzuri ila siyo LisuKwahiyo mkuu 2025 utamchagua nani?
Basi endeleni kuwa madekioUlishawai kua mwanafunz ulileta mabadiliki Gani?...unazani ni rahis kutoka mbele kuleta mabadiliko Dunia ya sasa. Ukiangalia background ya family ..na sasa hivi kuku fire ni jambo la dakika.....mavi matupu mwenyewe
Pale kuna wanafunzi? Usha wahi sikia amsha amsha? Nchi nyingi ukiachana na maandamano ya kudai bei ya vyakula kitu kingibe kinacho ogopwa huwa ni maandamano ya Wanafunzi na mwisho maandamano ya wakulimaHiyo hela ni ndogo sana!
Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%...
Kikubwa tunaishi freshii ,kama nyinyi mmeshindwa kuyaleta SSI tutaweza?Basi endeleni kuwa madekio
Mwanzo ilikuwa sh ngapi na sasa imeongezwa kiasi gani? 10, 000/ ni ndogo sanaHizo fedha zinatoka wapi wakati madarasa tu yanajengwa kwa akiba ya fedha za kigenu.
False hope.
Kwa nini waliondoa stationaries? Na Wanafunzi still wako kimya? Ingekuwa enzi zetu tungekinukisha balaaBoom sawa .Je Hilo boom litakusafirisha kutoka dar kwenda kagera ,mtwara,musoma, na kwingineko muda wa field ukifika? Mbona hizo Hera za field ziliondolewa?...
Mwanzo ilikuwa sh ngapi? 10, 000/ ni ndogo sana kwa life ya chuo, huwezi ongeza pesa unaacha kudili na mifumuko ya bei hasa ya Chakula, ni ujinga na sijui kama kuna wasomiWanavyuo wanajitambua na ongezeko Hilo linakwenda kuleta utulivu katika masomo