kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Acha kutukana watu usiowajuaInflasheni ya ny0kh0? Alikuta sukari 1500 ameondoka 2800 ,mchele 1800 super ,ameondoka mchele 2800 ,mafuta ya kupikia lita 3500 kaondoka lita elfu 6 ,mafuta ya taa 900 kaondoka 2800 ,nauli ferry ilikuwa 100 kaipandisha hadi 200 akasema asiyeweza apige mbizi.