Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Inflasheni ya ny0kh0? Alikuta sukari 1500 ameondoka 2800 ,mchele 1800 super ,ameondoka mchele 2800 ,mafuta ya kupikia lita 3500 kaondoka lita elfu 6 ,mafuta ya taa 900 kaondoka 2800 ,nauli ferry ilikuwa 100 kaipandisha hadi 200 akasema asiyeweza apige mbizi.
Acha kutukana watu usiowajua
 
Yaani kwa mwanangu aliyepo chuoni Dar mwaka wa kwanza tena chuo cha serikali na hana mkopo kabisa, akikuona atakuchapa makofi. Tena na mimi ntamuunga mkono akuchape makofi kwa maana hakuna namna!
Sisi wenye watoto wasiokuwa na mkopo tupo wengi mkuu. Badala ya kuongeza boom wangeongeza idadi ya wanufaika.
 
Sisi wenye watoto wasiokuwa na mkopo tupo wengi mkuu. Badala ya kuongeza boom wangeongeza idadi ya wanufaika.
Hiyo ndio point yangu Mkuu! Unasifiaje kuwaongezea walio nacho huku kuna wengine hawana kabisa! Lakini ndugu, Wacha sie wazazi wengine tujibanebane watoto wetu wasome. Mwisho wa siku wakati wengine wanalipa mikopo yao, wa kwetu labda watatukumbuka kutununulia scooter za uzeeni! Ahahahahah!
 
Hiyo hela ni ndogo sana!

Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%...
Mataga wa sukuma ganga sasa hivi Mnapinga pinga kila kitu
 
Hiyo hela ni ndogo sana!

Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%....
Ulishawai kuwa mwanafunzi ulileta mabadiliki Gani?...unazani ni rahis kutoka mbele kuleta mabadiliko Dunia ya sasa. Ukiangalia background ya family ..na sasa hivi kuku fire ni jambo la dakika.....mavi matupu mwenyewe
 
Ndugu zangu watanzania,

Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi Zaid Barani Afirika kwa Sasa na ambaye hotuba zake zinatajwa kuwa Bora,zenye kugusa mioyo ya watu
Naona umeweka namba ya simu ili ufuatwe sio na wenye hoja, ila watakaosikia ukijikomba. Acheni ujinga. Huyo Rais unaempaka mafuta kwa mgongo wa chupa hakubaliani na wewe.
 
Mavi wewe na ukoo wako uliouacha pale nyololo....

Mara elfu moja Samia kuliko yule mchawi na mwizi aliyelala Chato!
Ni aibu kwa mtu mzima kama wewe kupigwa ban ya kijinga namna hii
 
Ulishawai kua mwanafunz ulileta mabadiliki Gani?...unazani ni rahis kutoka mbele kuleta mabadiliko Dunia ya sasa. Ukiangalia background ya family ..na sasa hivi kuku fire ni jambo la dakika.....mavi matupu mwenyewe
Basi endeleni kuwa madekio
 
Hiyo hela ni ndogo sana!

Hiyo ni sawa na ile aliongeza mshahara kwa sh elfu 20 alafu kupitia mitozo yake na kufungua nchi gharama za maisha zikapanda kwa 200%...
Pale kuna wanafunzi? Usha wahi sikia amsha amsha? Nchi nyingi ukiachana na maandamano ya kudai bei ya vyakula kitu kingibe kinacho ogopwa huwa ni maandamano ya Wanafunzi na mwisho maandamano ya wakulima
 
Hizo fedha zinatoka wapi wakati madarasa tu yanajengwa kwa akiba ya fedha za kigenu.

False hope.
Mwanzo ilikuwa sh ngapi na sasa imeongezwa kiasi gani? 10, 000/ ni ndogo sana
 
Boom sawa .Je Hilo boom litakusafirisha kutoka dar kwenda kagera ,mtwara,musoma, na kwingineko muda wa field ukifika? Mbona hizo Hera za field ziliondolewa?...
Kwa nini waliondoa stationaries? Na Wanafunzi still wako kimya? Ingekuwa enzi zetu tungekinukisha balaa
 
Wanavyuo wanajitambua na ongezeko Hilo linakwenda kuleta utulivu katika masomo
Mwanzo ilikuwa sh ngapi? 10, 000/ ni ndogo sana kwa life ya chuo, huwezi ongeza pesa unaacha kudili na mifumuko ya bei hasa ya Chakula, ni ujinga na sijui kama kuna wasomi
 
Back
Top Bottom