Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Thanks for this
P
 
Hivi used huwa zina guarantees?
Alafu tukinunua ma used kisha yakashindwa kufanya kazi tutasema tumepigwa ama tumejipiga wenyewe?.

Mbona tunatengeneza mazingira ya watu kupiga pesa za uma kirahisi namna hii jamani hii nchi vipi hii???.
Mzigo umeshafika mkuu...
 
Mabehewa haya ni vyuma kwa 75% others material 25%, sioni tatizo hapa, vyuma vipya na vyuma vya zamani, huenda vyuma vya zamani vilichanganywa na germanium ya kutosha kuviimarisha na pengine vikawapa bora zaidi ya mabehewa hayo brand new!
 
Kaka uoni uzito wa chuma ukiongezeka spidi inapungua? Ndiyo maana bodi zinatengenezwa kwa chuma chepesi, aluminiam, faiba ili chombo kiwe chepesi kusafiri kwa haraka.
 
"OK nimekupata mkuu, Africa as Africa kutukana na uchumi wetu huwa tunanunua gari ya miaka 15 nyuma lakini ikija hapa ni mpya kabisa "
 
Kama ni hivyo kwa nini msemaje wenu wa serikali anatisha watu kuwa hawakununua used?.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…