JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
engine tena?engine kadhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
engine tena?engine kadhaa
Kazikwe nae chattle. Ndege ilitembea miezi 4 ikataga uwanja wa ndege mwanza ma miezi kibao, alafu unataka kutetea ujinga hapa. Mpya inaweza kuatamia kwa muda mfupi hivyoHivi bado mpo mnaoamini propaganda za Zitto and co kuwa zile ndege ni used? Tafuta mtu anaejua ndege akwambie ule mlio ni wa nini. Kukusaidia tu haihusiani kabisa na kutoa matairi.
Utaambiwa ni mabehewa ya kuanzia, lakini yakatumiaka kwa miaka kumi kabla ya kufikiria kununua mapya. Unaweza kukuta behewa mtumba linanunuliwa kwa bei ya Behewa jipya.Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Hii ndiyo nchi yetu hii, no way to escape from this issues...Utaambiwa ni mabehewa ya kuanzia, lakini yakatumiaka kwa miaka kumi kabla ya kufikiria kununua mapya. Unaweza kukuta behewa mtumba linanunuliwa kwa bei ya Behewa jipya.
Hata pembeni tisisogee??Tulieni hivyo hivyo msikimbie wala kunung'unika.
Thanks to Mama Samia Suluhu, amekuwa very honest yani and we have to be grateful for that.Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Kwani sheria za manunuzi zimebedilika? Maana serikali huwa hainunui vitu vilivyotumika. Wataalamu wa manunuzi mtusaidieTaarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Nimeelewa kama wewe ulivyoelewa, haina maana tuelewe kwa namna moja.Sidhani kama umeelewa anachofanya huyo mama!
Rais anakuwa Adressed kwa title hii anaposhughulikia masuala yanayohusiana na Majeshi ya ulinzi na usalama kama JW, POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO, WANYAMAPORI ma mengineyo.Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Ukisikia mazafaka ndiye yeyeSheria ya manunuzi serikali hainunui mitumba. Yawezekana ni zawadi kapewa na inauzwa, ila kwa vile hashitakiwi, ruksa.
Ndiyo maana mimi ule uzi wa battle ya dar vs nairobi nimekimbia ...kwa sababu na amini nina akili timamu kuweza kusoma nyakati ...serikali kuwa chini ya wapumbavu na wahuni kisha utarajie mema ni ujingaHaya Wabongo walikuwa wanawacheka na kuwakejeli Wakenya, sasa na Bongo pia wanaagiza mitumba!